Zanzibar: Akutana na kipigo baada ya kuonekana akila mchana!

Jamani hatuheshimu za wengine tutachochea vurugu za kidini..... Mnaukumbuka kesi ya dibagula?.... Kisheria imani yake ilikuwa inamruhusu Lakini alifungwa jela kwa kuandika kwamba Yesu si mungu... Pamoja na mahakama kuu baadaye ilimuiona hana hatia alikuwa ameshasota jela. Je waliomfunga hawakujua sheria? Huyu alikutana na yaliyomkuta kutokana na uchochezi wa kidini. Na huyu alokwenda kula hadharani (kosa sio kutofunga) mwezi Ramadhan Zanzibar nae pia ni Mchochezi. Hawa ni watu hatari na hawafai kuungwa mkono.
Funga ya hao watu haina maana!
 
Huko nyuma tulishasema kuwa Zanzibar si bara watu wakabisha, sasa halihalisi ndiyo hiyo
Kweli Zanzibar si BARA
Ni ujinga tuu.....
Huko ni kushinda njaa na Cyo kufunga
Waislam wengi wa Leo wanashinda njaa na cyo kufunga....
Huyo mungu anayelazimisha watu wasile ni mungu yupi?
Unaweza ukafunga kumbe moyoni kufunga kwako ni kwaajili ya kuogopa viboko
 
wanakula daku hadi wanashiba alfajiri,kisha wanasema wanafunga hadi jioni..hapo si kubadilisha tu ratiba ya kula!!..halafu mnawapiga watu wanaokula kwa ratiba zao..Mungu hawezi kupenda hivi vitendo wanavovifanya hawa watu

Kwani wanakula alfajiri tena wakishakula ile saa kumi na mbili

nimeshangaa kwa hiyo na asubuhi kabla ya jua wanakula tena kama dinner au nielewesheni sijawahi kukaa na waislamu

cc FaizaFoxy naomba unieleweshe hapo
 
Back
Top Bottom