S Shaka2011 Member Joined Sep 20, 2011 Posts 7 Reaction score 2 May 20, 2012 #1 Tangu juzi speed ya kudownload imepungua sana...yaani hata movie moja ya MB 700 haijamaliza...au ndo mgema akisifiwa tembo hulitia maji?
Tangu juzi speed ya kudownload imepungua sana...yaani hata movie moja ya MB 700 haijamaliza...au ndo mgema akisifiwa tembo hulitia maji?
M mzeelapa JF-Expert Member Joined Jul 14, 2010 Posts 1,124 Reaction score 408 May 20, 2012 #2 Hili tatizo limeanza tangu walipopunguza bei ya vifurushi. Kama wameona vipi bora warudishe bei ile ile ya zamani. Wameanza kutuingiza mkenge kama mitandao mingine. WIZI MTUPU!! Sasa tukimbilie wapi jamani?
Hili tatizo limeanza tangu walipopunguza bei ya vifurushi. Kama wameona vipi bora warudishe bei ile ile ya zamani. Wameanza kutuingiza mkenge kama mitandao mingine. WIZI MTUPU!! Sasa tukimbilie wapi jamani?