Zantel 4G

Mimi natumia 4G ya voda baada ya kuchoka na upuuzi wa 4G ya tigo. Mpaka sasa hivi haijaniangusha. ni mwendo kasi wa express
 

True halotel wanatufulushi mi nimetupa zote
 
Mikoa yote ambayo tigo wana 4G zantel nayo wanayo....

Zantel itasambaa kwa kasi kuazia august...

Band wanayotumia kwa sasa ni 800 watakuja na 900..

SITAKI MASWALI SUBIRINI MATOKEA
Upuuzi mtupu, 3G tu imewashinda hiyo 4G si ndo itakuwa kituko, hivi unaweza amini kwamba Kibamba hakuna 3G ya Zantel? na hapa ni Dsm vipi kule kwingine kutakuaje...!!!?
 
Upuuzi mtupu, 3G tu imewashinda hiyo 4G si ndo itakuwa kituko, hivi unaweza amini kwamba Kibamba hakuna 3G ya Zantel? na hapa ni Dsm vipi kule kwingine kutakuaje...!!!?
Povu la nini tulia kijana....

Weka akiba ya maneno muda ndio master wa kila kitu.
 
Halotel wana speed kwa vile Hawana wateja sana wakiwajaza speed itapungua
ni lini voda au tigo au airtel walipokuwa na wateja wachache speed yao ikawa kama ya halotel?

fikiria miaka ya 2000 huko.
 
zantel 4g ipo unguja tu tena si sehemu zote kuanzia mwezi ujao wataingia huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…