Zandaani kabisa: Hesabu za 2030

Mtu yeyeyote akiwa CCM haaminiki yeye kama ni mwema ajiudhuru
 
Yaani Mwigulu awe Rais? Never....huyu hata angekuwa mseminari angekushafukuzwa siku nyingi na wala asingekuwa anajulikana hivi sasa! Kuna njiq watu wanapitia halafu vetting inayofanyika ni ya kipumbavu! Huyu Mwigu ile tai anayovaa ndio karata yake! Siku akivaa tai yenye rangi tofauti..kwisha
 
Mnawazaga urais tu? Deni la taifa na mfumuko wa bei Wala!
 
Maduro wa kuchemsha wew na andiko lako ingia humo 👉🏿 🗑️
 
Utumbo
 
Sawa JF Nabii!
 
Mwigulu anaumagufuli gani, hana kitu kumpa urais ni kuitesa tu Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…