Umeandika ujinga tu 🚮View attachment 3659469Unaambiwa misimamo ya Dkt. Mwigulu Nchemba, ambayo inaendana na baadhi ya misimamo ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, ndiyo iliyomuibua Ndejembi.
Ni dhahiri kuwa Dkt. Nchimbi angeweza kufukuzwa uanachama kutokana na kukosa uwajibikaji wa pamoja, yaani kuishambulia Serikali ambayo na yeye ni sehemu yake.
Katika mchakato wa kumpata mrithi wake, magenge na makundi mbalimbali yalionya kuwa Mwigulu asipandishwe, wala asifikiriwe kwenye ndoto yake ya 2030, kwa sababu kumpeleka juu huyu ni sawa na kumrudisha Dkt. John Pombe Magufuli.
Kimahesabu, kuletwa kwa Makamu kijana kunaweza kuwa sehemu ya mkakati huo. Za chini chini zinasema kwamba wapo wengine wawili wanaoandaliwa.
Kimahesabu, hii ni mikakati ya kumzuia Dkt. Magufuli huyu mpya.
Watanzania, kama tunataka kumpata Magufuli tena, basi tuziangalie hesabu hizi kwa umakini.
Kwa 2030 Magufuli wetu ni Tundu LissuView attachment 3659469Unaambiwa misimamo ya Dkt. Mwigulu Nchemba, ambayo inaendana na baadhi ya misimamo ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, ndiyo iliyomuibua Ndejembi.
Ni dhahiri kuwa Dkt. Nchimbi angeweza kufukuzwa uanachama kutokana na kukosa uwajibikaji wa pamoja, yaani kuishambulia Serikali ambayo na yeye ni sehemu yake.
Katika mchakato wa kumpata mrithi wake, magenge na makundi mbalimbali yalionya kuwa Mwigulu asipandishwe, wala asifikiriwe kwenye ndoto yake ya 2030, kwa sababu kumpeleka juu huyu ni sawa na kumrudisha Dkt. John Pombe Magufuli.
Kimahesabu, kuletwa kwa Makamu kijana kunaweza kuwa sehemu ya mkakati huo. Za chini chini zinasema kwamba wapo wengine wawili wanaoandaliwa.
Kimahesabu, hii ni mikakati ya kumzuia Dkt. Magufuli huyu mpya.
Watanzania, kama tunataka kumpata Magufuli tena, basi tuziangalie hesabu hizi kwa umakini.
CCM wao wanachofikiria kila siku ni kuendelea kututawala badala ya kufikiria jinsi ya kutupunguzia ugumu wa maishaWatu wameingia kazini sasa 😀
Apo Rizimoja na Wanu Hafidh wanakamilisha listView attachment 3659469Unaambiwa misimamo ya Dkt. Mwigulu Nchemba, ambayo inaendana na baadhi ya misimamo ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, ndiyo iliyomuibua Ndejembi.
Ni dhahiri kuwa Dkt. Nchimbi angeweza kufukuzwa uanachama kutokana na kukosa uwajibikaji wa pamoja, yaani kuishambulia Serikali ambayo na yeye ni sehemu yake.
Katika mchakato wa kumpata mrithi wake, magenge na makundi mbalimbali yalionya kuwa Mwigulu asipandishwe, wala asifikiriwe kwenye ndoto yake ya 2030, kwa sababu kumpeleka juu huyu ni sawa na kumrudisha Dkt. John Pombe Magufuli.
Kimahesabu, kuletwa kwa Makamu kijana kunaweza kuwa sehemu ya mkakati huo. Za chini chini zinasema kwamba wapo wengine wawili wanaoandaliwa.
Kimahesabu, hii ni mikakati ya kumzuia Dkt. Magufuli huyu mpya.
Watanzania, kama tunataka kumpata Magufuli tena, basi tuziangalie hesabu hizi kwa umakini.
Mkuu wewe ulitegemea aandike kitu gani tofauti na hiki?Umeandika ujinga tu 🚮
Utanisamehe pia kwa kutumia kugha kali. Ila ukweli ndiyo huo.
wanu amchague nani?Apo Rizimoja na Wanu Hafidh wanakamilisha list
Nchi ya mamake hii . Usishangae ukamuona kwenye kinyang’anyirowanu amchague nani?
Haiwezekani na haitawezekanaNchi ya mamake hii . Usishangae ukamuona kwenye kinyang’anyiro
Samia ulimchagua wewe?wanu amchague nani?
Swali zuri, sana nape hukumwelewaSamia ulimchagua wewe?
Za ndani ya Mungu mjipange lissu anakuja kama sio rais basi waziri mkuu, jaji on top, ni swala la mda tuView attachment 3659469Unaambiwa misimamo ya Dkt. Mwigulu Nchemba, ambayo inaendana na baadhi ya misimamo ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, ndiyo iliyomuibua Ndejembi.
Ni dhahiri kuwa Dkt. Nchimbi angeweza kufukuzwa uanachama kutokana na kukosa uwajibikaji wa pamoja, yaani kuishambulia Serikali ambayo na yeye ni sehemu yake.
Katika mchakato wa kumpata mrithi wake, magenge na makundi mbalimbali yalionya kuwa Mwigulu asipandishwe, wala asifikiriwe kwenye ndoto yake ya 2030, kwa sababu kumpeleka juu huyu ni sawa na kumrudisha Dkt. John Pombe Magufuli.
Kimahesabu, kuletwa kwa Makamu kijana kunaweza kuwa sehemu ya mkakati huo. Za chini chini zinasema kwamba wapo wengine wawili wanaoandaliwa.
Kimahesabu, hii ni mikakati ya kumzuia Dkt. Magufuli huyu mpya.
Watanzania, kama tunataka kumpata Magufuli tena, basi tuziangalie hesabu hizi kwa umakini.
ChaiView attachment 3659469Unaambiwa misimamo ya Dkt. Mwigulu Nchemba, ambayo inaendana na baadhi ya misimamo ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, ndiyo iliyomuibua Ndejembi.
Ni dhahiri kuwa Dkt. Nchimbi angeweza kufukuzwa uanachama kutokana na kukosa uwajibikaji wa pamoja, yaani kuishambulia Serikali ambayo na yeye ni sehemu yake.
Katika mchakato wa kumpata mrithi wake, magenge na makundi mbalimbali yalionya kuwa Mwigulu asipandishwe, wala asifikiriwe kwenye ndoto yake ya 2030, kwa sababu kumpeleka juu huyu ni sawa na kumrudisha Dkt. John Pombe Magufuli.
Kimahesabu, kuletwa kwa Makamu kijana kunaweza kuwa sehemu ya mkakati huo. Za chini chini zinasema kwamba wapo wengine wawili wanaoandaliwa.
Kimahesabu, hii ni mikakati ya kumzuia Dkt. Magufuli huyu mpya.
Watanzania, kama tunataka kumpata Magufuli tena, basi tuziangalie hesabu hizi kwa umakini.
Chai2030 ni mwanamke tena na ni Dkt. Asha-Rose Migiro