simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Baada ya CCM kupiga chini katiba ya wananchi hamna namna zaidi ya Mamlaka kamili. Zanzibar has nothing to lose but chains of oppression.
Baada ya CCM kupiga chini katiba ya wananchi hamna namna zaidi ya Mamlaka kamili. Zanzibar has nothing to lose but chains of oppression.
A
Acha uchochezi wewe kwann hupendi tuendelee na muungano wetu haaaaa una tatizo gani au inawezekana wewe sio Mtanzania na umetumwa na wapinga muungano tafadhali sana sana mkuu na jamiiforum tafadhali itoeni hiyo mada ifutwe pleaseee please please jamiiforum Admn angalizo haya maeneo yasiwe ndio chokochoko za kuhatarisha amani futa hiyo tafadhali
Kwa waliosoma physical geography, Zanzibar ni sehemu ya Tanganyika iliyomegeka miaka milioni nyingi nyuma, hivyo hiyo ni sehemu yetu halali!. Hao Waarabu walipokuja Zanzibar waliwakuta wenyeji chini ya Mwinyi Mkuu. Hivyo hakuna cha mamlaka kamili, wala kujitenga!. Zanzibar ni sehemu ya JMT na itaendelea kuwa hivi!.
Pasco

wewe physical Geography ulikuwa unapishana na Mwalimu mlangoni. Soma continental drift utapata weledi.Pasco mimi nadhani Pwani yote , ni ya Znz , na ilikua hivyo kabla ya miKa 1000 nyuma , Mjerumani ndio aliondoa sehemu hio kuwa ya znz
Ukimalizana Na Zan_Exit itakuja Na Pem_Exit Na hapo ndio patamu maana tutaanza Na wazan_Exit wasionekane Bongo
basi dunia nzima ni nchi moja.. maana jiografia inasema there was only a single landmas PANGAEAKwa waliosoma physical geography, Zanzibar ni sehemu ya Tanganyika iliyomegeka miaka milioni nyingi nyuma, hivyo hiyo ni sehemu yetu halali!. Hao Waarabu walipokuja Zanzibar waliwakuta wenyeji chini ya Mwinyi Mkuu. Hivyo hakuna cha mamlaka kamili, wala kujitenga!. Zanzibar ni sehemu ya JMT na itaendelea kuwa hivi!.
Pasco