Zambia: Rais Hakainde Hichilema, amewaondoa kazini Viongozi kadhaa wa Juu Serikali

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,808
11,973
ZAMBIA: RAIS AWAFUTA KAZI WATUMISHI WA JUU WA SERIKALI

Rais wa #Zambia, Hakainde Hichilema (59) amewaondoa kazini Viongozi kadhaa wa Juu Serikali wakiwemo Wanadiplomasia na Makatibu Wakuu

Miongoni mwa walioondolewa ni Makatibu Wakuu 20 na Wanadiplomasia 13 waliokuwa Mataifa mbalimbali yakiwemo #Tanzania, Ujerumani, #China, Ubelgiji, India na Uingereza

#JamiiForums

=====

President Hakainde Hichilema has terminated the services of the following senior government officials;

SERVICE COMMISSIONERS

1. Mr. Amos Musonda- Chairman, Local Government Service Commission

2. Mr. Dickson Kayula Chasaya, Chairman, Civil Service

3. Mr. Hilary Chipango- Vice Chairperson, Civil Service Commission

DEPUTY PERMANENT SECRETARY

1. Mr. Japhet Lombe, Deputy Permanent Secretary

DIPLOMATS

1. Amb. Anthony Mukwita- Berlin, Germany

2. Amb. Emmanuel Mwamba- Addis Ababa, Ethiopia

3. Amb. Martha Lungu Mwitumwa-Geneva, Switzerland

4. Amb. Prof. Nkandu Munalula- Brussels, Belgium

5. Amb. Gen Paul Mihova, London United Kingdom

6.Amb. Winnie Chibesakunda, Beijing, China

7. Amb. Judith Kapijimpanga- Delhi, India

8. Amb. Benson Chali- High Commissiomer, DaresSalaam, Tanzania

9. Amb. Emmanuel Chenda- Harare, Zimbabwe

10 Amb. Daniel Chisenga- Consul General, Guangzhou, China

11. Amb. Alfred Kansembe- Brasilia, Brazil

12. Amb. Ibrahim Mumba- Riyadh, Saudi Arabia

13. Mr. Goodwill Lungu- Deputy High Commissioner, Botswana.

PERMANENT SECRETARIES

1. Chanda Kabwe-DMMU

2. Juliana Shoko- Parliamentary Business

3. Boniface Chimbwali- PSMD

4. Amos Malupenga-PS Information and Media

5. Eng. Mathew Ngulube- Local Government

6. Chanda Kaziya- Labour and Social Security

7. Lennox Kalonde- Works & Supply

8. Barnaby Mulenga- Mines & Minetals

9. Songowayo Zyambo- Agriculture

10. Eng. Misheck Lungu- Transport and Communications

11. Sandstone Silomba

12. Masiye Banda- Home Affairs

13. Emmanuel Ngulube-Ministry of Health

14. Danny Bukali- Western Province.

15. Bright Nundwe- Copperbelt Province

16. Joyce Bwacha Nsamba- Southern Province.

17. Eng Charles Mushota- Luapula.

18. Willis Manjimela- Northwestern Province.

19. Bernard Chomba- Central Province
20. Royd Mwape Chakaba- Northern Province
 
Attachments

  • 4_5922355560077854630.pdf
    691.4 KB · Views: 9
Nilimaliza mpaka mavyuo vikuu yote,
Saa hii nasumbuliwa na wazito wa kuelewa
CCM ni chama kilichotokana na Tanu!!..Tanu ni moja ya nguzo muhimu ya Uhuru wetu!!..Sasa Leo useme CCM kitakua chama cha upinzani!!..Inataka usome zaidi ndio utaelewa mifumo ya uanzishaji wa vyama vya Siasa na vilianzishwaje!!....
 
Wapinzani siku zote wao ni kuharibu tu
Ni kutokana na siasa za kiafrika, badala ya kuweka wataalam, mnajaza makada wa chama!!kwa hiyo unataka aende na makada wa chama cha RUNGU?!!mbona wazungu wao mala nyingi anaendelea nao tu wale wenye nafasi zinazo hitaji wataalam?mfano hapa hadi mfagiaji wa bungeni ni kada kuna nini hapo?
 
ZAMBIA: RAIS AWAFUTA KAZI WATUMISHI WA JUU WA SERIKALI

Rais wa #Zambia, Hakainde Hichilema (59) amewaondoa kazini Viongozi kadhaa wa Juu Serikali wakiwemo Wanadiplomasia na Makatibu Wakuu

Miongoni mwa walioondolewa ni Makatibu Wakuu 20 na Wanadiplomasia 13 waliokuwa Mataifa mbalimbali yakiwemo #Tanzania, Ujerumani, #China, Ubelgiji, India na Uingereza

#JamiiForums

=====

President Hakainde Hichilema has terminated the services of the following senior government officials;

SERVICE COMMISSIONERS

1. Mr. Amos Musonda- Chairman, Local Government Service Commission

2. Mr. Dickson Kayula Chasaya, Chairman, Civil Service

3. Mr. Hilary Chipango- Vice Chairperson, Civil Service Commission

DEPUTY PERMANENT SECRETARY

1. Mr. Japhet Lombe, Deputy Permanent Secretary

DIPLOMATS

1. Amb. Anthony Mukwita- Berlin, Germany

2. Amb. Emmanuel Mwamba- Addis Ababa, Ethiopia

3. Amb. Martha Lungu Mwitumwa-Geneva, Switzerland

4. Amb. Prof. Nkandu Munalula- Brussels, Belgium

5. Amb. Gen Paul Mihova, London United Kingdom

6.Amb. Winnie Chibesakunda, Beijing, China

7. Amb. Judith Kapijimpanga- Delhi, India

8. Amb. Benson Chali- High Commissiomer, DaresSalaam, Tanzania

9. Amb. Emmanuel Chenda- Harare, Zimbabwe

10 Amb. Daniel Chisenga- Consul General, Guangzhou, China

11. Amb. Alfred Kansembe- Brasilia, Brazil

12. Amb. Ibrahim Mumba- Riyadh, Saudi Arabia

13. Mr. Goodwill Lungu- Deputy High Commissioner, Botswana.

PERMANENT SECRETARIES

1. Chanda Kabwe-DMMU

2. Juliana Shoko- Parliamentary Business

3. Boniface Chimbwali- PSMD

4. Amos Malupenga-PS Information and Media

5. Eng. Mathew Ngulube- Local Government

6. Chanda Kaziya- Labour and Social Security

7. Lennox Kalonde- Works & Supply

8. Barnaby Mulenga- Mines & Minetals

9. Songowayo Zyambo- Agriculture

10. Eng. Misheck Lungu- Transport and Communications

11. Sandstone Silomba

12. Masiye Banda- Home Affairs

13. Emmanuel Ngulube-Ministry of Health

14. Danny Bukali- Western Province.

15. Bright Nundwe- Copperbelt Province

16. Joyce Bwacha Nsamba- Southern Province.

17. Eng Charles Mushota- Luapula.

18. Willis Manjimela- Northwestern Province.

19. Bernard Chomba- Central Province
20. Royd Mwape Chakaba- Northern Province
Hii ndio sababu kuu ambayo viongozi wakubwa huhakikisha chama kilichopo madarakani hakishindwi uchaguzi.
 
Back
Top Bottom