Zambia imetolewa na Sudan katika michuano ya Senior Challenge Cup inayoendelea katika hatua ya nusu fainali kwa mabao 2-1. Kilimanjaro Stars na Harambee Stars mchuano ulitakiwa uanze saa 12 jioni hii baada ya kuahirishwa awali leo kutokana na mvua kubwa! Kwa hiyo Sudan imetinga fainali!!
No doubt, huyo si Mtanzania! Anyway, ni dakika ya 64 bado hao jamaa zako Wajivuni wanaongoza kwa bao lao 1. lakini kwa taarifa yako, wameelemewa sana tu na natumai wakati wowote hicho kibao kitarudishwa na vijana wetu wataondoka na ushindi!!

Inauma sana. Kuna udhaifu mkubwa kwa kocha. Timu inacheza defensive karibu wakati wote, tutashindaje bila mashambulizi? Defense bora kuliko zote ni kushambulia. Ahadi nyingi hajatekeleza hata moja--World Cup tulikwama, Afcon tukakwama, Chan tukakwama na mashindano haya aliahidi atakuja na kombe, tumekwama! AENDE ZAKE!!