Zambia Hoi!

K-Boko

JF-Expert Member
Aug 3, 2013
697
218
Zambia imetolewa na Sudan katika michuano ya Senior Challenge Cup inayoendelea katika hatua ya nusu fainali kwa mabao 2-1. Kilimanjaro Stars na Harambee Stars mchuano ulitakiwa uanze saa 12 jioni hii baada ya kuahirishwa awali leo kutokana na mvua kubwa! Kwa hiyo Sudan imetinga fainali!!
 
Kwa mtindo huu tumefika mbali sana sisi watanzania

No doubt, huyo si Mtanzania! Anyway, ni dakika ya 64 bado hao jamaa zako Wajivuni wanaongoza kwa bao lao 1. lakini kwa taarifa yako, wameelemewa sana tu na natumai wakati wowote hicho kibao kitarudishwa na vijana wetu wataondoka na ushindi!!
 
Hali ni tete, dakika ya 87 na bado Wajivuni wameng'ang'ania ni hicho kibao chao. Inauma sana kufungwa na hawa jamaa!! Majivuno yatazidi maradufu!!!
 
Wametuondoa kwa bao hilo hilo 1!
 
Zambia imetolewa na Sudan katika michuano ya Senior Challenge Cup inayoendelea katika hatua ya nusu fainali kwa mabao 2-1. Kilimanjaro Stars na Harambee Stars mchuano ulitakiwa uanze saa 12 jioni hii baada ya kuahirishwa awali leo kutokana na mvua kubwa! Kwa hiyo Sudan imetinga fainali!!

Wajivuni wametuondosha kwa bao 1-0

Inauma sana. Kuna udhaifu mkubwa kwa kocha. Timu inacheza defensive karibu wakati wote, tutashindaje bila mashambulizi? Defense bora kuliko zote ni kushambulia. Ahadi nyingi hajatekeleza hata moja--World Cup tulikwama, Afcon tukakwama, Chan tukakwama na mashindano haya aliahidi atakuja na kombe, tumekwama! AENDE ZAKE!!
 
Back
Top Bottom