Zambia imetolewa na Sudan katika michuano ya Senior Challenge Cup inayoendelea katika hatua ya nusu fainali kwa mabao 2-1. Kilimanjaro Stars na Harambee Stars mchuano ulitakiwa uanze saa 12 jioni hii baada ya kuahirishwa awali leo kutokana na mvua kubwa! Kwa hiyo Sudan imetinga fainali!!