Zamani tuliambiwa kumkamata Komandoo mmoja kunahitajika wanajeshi 100 waliopata mafunzo, sijajua hawa wa Mbowe walikamatajwe!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,965
141,968
Tuliambiwa kwamba ili umkamate/ umteke komandoo mmoja wa Jeshi patahitajikawanajeshi zaidi ya 100 waliopata mafunzo stahiki

Sijajua hawa makomandoo wa Mbowe walikamatajwe au zile za zamani zilikuwa ni story tu na kwamba komandoo anakamatika kikawaida tu?!!

Nawatakia Sabato yenye baraka!
 
Ndiyo maana hata JWTZ walifukuzwa kwa kuwa walionekana fake tupu watamfaa Gaidi Mbowe.
 
Tuliambiwa kwamba ili umkamate/ umteke komandoo mmoja wa Jeshi patahitajikawanajeshi zaidi ya 100 waliopata mafunzo stahiki

Sijajua hawa makomandoo wa Mbowe walikamatajwe au zile za zamani zilikuwa ni story tu na kwamba komandoo anakamatika kikawaida tu?!!

Nawatakia Sabato yenye baraka!
Zile zilikuwa movie zakina komando john,rambo na komando kipensi.
 
Tuliambiwa kwamba ili umkamate/ umteke komandoo mmoja wa Jeshi patahitajikawanajeshi zaidi ya 100 waliopata mafunzo stahiki

Sijajua hawa makomandoo wa Mbowe walikamatajwe au zile za zamani zilikuwa ni story tu na kwamba komandoo anakamatika kikawaida tu?!!

Nawatakia Sabato yenye baraka!
Walikuwa wanazunguuka nao siku mbili na kuwafadhili chakula na ndio maana wakawapeleka mbweni badala ya sentro bwashee!! Ndio maana wanawaita makomandoo wa Mbowe si wa JWTZ!!!
KWA KIFUPI MASHAHIDI WANAOHOJIWA WAKO VIZURI JASHO LITAWATOKA SANA NA WATAKWENDA HAJA MARA NYINGI KWENYE HII KESI.
 
Tuliambiwa kwamba ili umkamate/ umteke komandoo mmoja wa Jeshi patahitajikawanajeshi zaidi ya 100 waliopata mafunzo stahiki

Sijajua hawa makomandoo wa Mbowe walikamatajwe au zile za zamani zilikuwa ni story tu na kwamba komandoo anakamatika kikawaida tu?!!

Nawatakia Sabato yenye baraka!
Walikuwa wanazunguuka nao siku mbili bila kuwafunga pingu makomandoo hao na kuwafadhili chakula ndio maana wakawapeleka mbweni badala ya sentro kwenye ulinzi mkubwa na huduma tele bwashee!! Ndio maana wanawaita makomandoo wa Mbowe si wa JWTZ!!!
KWA KIFUPI MASHAHIDI WANAOHOJIWA WAKO VIZURI JASHO LITAWATOKA SANA NA WATAKWENDA HAJA SANA KWENYE HII KESI.
 
Tuliambiwa kwamba ili umkamate/ umteke komandoo mmoja wa Jeshi patahitajikawanajeshi zaidi ya 100 waliopata mafunzo stahiki

Sijajua hawa makomandoo wa Mbowe walikamatajwe au zile za zamani zilikuwa ni story tu na kwamba komandoo anakamatika kikawaida tu?!!

Nawatakia Sabato yenye baraka!
Hi ni kesi ya kubumba, Ina magirini na mashaka mengi
 
Back
Top Bottom