😀😀😀😀😀😀😀Umenikumbusha mbali sana,
Niliwahi andika barua ya tongozo January,binti akaipata March shuleni kwao Maswa,akanijibu vizuri tu tena kwa bashasha na mbwembwe kibao.......tukaja kuonana mwezi June kabla ya ile barua kufika,
July mwishoni nikaletewa barua ile ya majibu class na teacher mmoja mnoko ile mbaya na lundo la fimbo.....akaisoma mbele ya darasa mwanzo mwisho,
doh ilikuwa bounge moja la noma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwa raha walahiHabarini wana cit chat
Zamani bana ilikuwa raha sana, unakuta mwanume unasoma Ndanda (Lindi) halafu demu wako anasoma Msalato (Dodoma), mwezi wa tatu unaandika barua unaomba kipindi cha rikizo tarehe 25 July mkutane kituo cha basi (mfano Manzese) yeye barua anaipata mwezi wa nne, anakujibu kakubari na majibu unayapata mwezi wa tano unafurahi kinoma.
Sasa kimbembe kinakuja hiyo tarehe 25 yeye anaudhuru haji unaganda kituoni mpaka jioni, Halafu mwezi August mwishoni unapata barua ya kukujlisha kuwa siku ile alishindwa kuja kwa mjomba wake kulikuwa na msiba anakupa pole na kukuomba siku ya X-mass mkutane pale pale kituoni. Kwa hiyo unaendeleza chaputa unasubiri X-mass
hahaha ko demu alikubali au alikuchinjia baharini?Nishawahi kumtumia demu barua ya kumtongoza kipindi nasoma tosamaganga ilipofika shuleni kwao swilla walimwita akasomewa ofisini kimbembe kilikua hapa akaulizwa unamtaka au humtaki
hahaha mkuu ko akakunyima ujiko #kukukana mbele ya watu#pole mkuu ila najua nyumba ya pazia alikutuku !Hapo lazima jogoo awike mara 3
miwili tuuu,,, hata miaka mitano.Inaweza pita miaka miwili bado hujamgonga demu