Ndio maana watoto wa siku hizi hawana adabu kabisa, hawajaonja malezi bora? haaSky kuna siku alitangaza hapa kuwa mtoto mdogo anatakiwa kulala chumba cha mbali huko na awekewe radio call ili akilia asikike kwenye chumba cha Baba na Mama huko!
Ma S haya maksudi unayatoa wapi?!?! Au unanitafutia ban na uzee wangu huu?!?!Yaan mimi niache kukumbatiwa na G na dyudu niioate kwa mahesabu,, nikumbatie mtoto mimi kwelii ,,,hapana aiseee tena watoto walivyo wasumbufu wakae mbali kabisaa
@Sky eclat njoo umwone mwenyekiti wetu anakuita.Sky kuna siku alitangaza hapa kuwa mtoto mdogo anatakiwa kulala chumba cha mbali huko na awekewe radio call ili akilia asikike kwenye chumba cha Baba na Mama huko!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ma S haya maksudi unayatoa wapi?!?! Au unanitafutia ban na uzee wangu huu?!?!
Siwezi acha kumbatia mme mimi,usiku ulivyo mrefu hivyoUkiona hivyo ujue mapenzi yamezidi Upendo..
Siwezi acha kumbatia mme mimi,usiku ulivyo mrefu hivyo
Wanaochoka ni wao mi napenda kukumbatiwa kila siku sichokiiiMtoto anakuhitaji wewe na wewe unahitaji mume.
Ungejua ile kulala vyumba tofauti ilikua inaleta hamu ya mambo, na mwanamke alikua anafuata mume kwa hiyari yake. Habari za nimechoka sijui sijisikii hazikuwepo.
Wanaochoka ni wao mi napenda kukumbatiwa kila siku sichokiii
Sent from my SM-T230NU using JamiiForums mobile app