Zama Zimebadilika !!!

Zama Zimebadilika !!!

Makoja

Member
Joined
Mar 21, 2018
Posts
33
Reaction score
76
Kweli zama Zimebadilika nakumbuka zama zile Tulikuwa tukifunga shule Mzazi anakulipia nauli uende kwa shangazi Dar au Mwanza au Arusha ukifika huko unafurahia likizo mwezi mzima na siku ya kurudi utafungashiwa zawadi hadi raha lkn zama hizi hata ukimwambia Ndugu yako utakuwa na safari yako unakuja Dar kwa shughuli nyingine na utapita kwake kumsalimia anaanza sababu kibao kwamba na hatakuwepo hii yote kukukwepa jamani nini kimetusibu au ndio mambo ya Utandawazi.
 
Mjini pagumu. Zaman dola moja ilikuwa senti hamsini ila sasa hivi dola moja shi 2300 nadhan nimeeleza kila kitu
 
Back
Top Bottom