Zali la mentali

Hammy Js

JF-Expert Member
Sep 20, 2017
3,054
3,255
Leo nimetoka zangu matembezini ghafla nikamuona msichana mkaliiiii kwa mbele,nikamsimamisha akasimama.
Mimi: Mambo Dada?
Dada: Pouw, enhe shida?
Mi nikaanza kuimbisha,huwezi amini kabla hata sijaongea sana yule dem akasema "Maindi yuwa biznes" akaanza kuondoka
Nkasema dah zali gani hili mtoto kanielewe mpak anataka anifungulie biznes, naona itakuwa anaenda kwake kuniletea mtaji mana nmemuuliza ni biznes gani anataka anifungulie lakin inaonesha kama ana haraka sana. Nipo namsubiri hapa. Mungu mkubwa aseeh
 
Endelea kumsubiri tu ila ukiona jua limezama jua ndo bye bye hiyo bahati haiji x2
 
Kabla ya yote.! " nifahamisheni huyu ananifaa ama nimpige chini maana sipendagi mademu wabovu mm "
FB_IMG_1521480230105.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom