wajinga ndiyo waliwawo
Mwenyewe kaona ni zari la mentali limemfikia kama profesa j.
Last week nimepokea post kwenye fb account yangu kutoka hilo jina (Dr. Michelle) ikinitaka nijibu kupitia e-mail yake. Kwa kuwa nawafahamu hawa matapeli nikamjibu tu kuwa kwa kuwa amenipata fb haina mbaya tukichat hapa hapa coz mawasiliano ndo ya muhimu siyo e-mail. Mpaka sasa naingia mtamboni sijajibiwa. Fungua macho kijana hawa watu ni hackers na cyber thieves!
Ye ye yee..mm mwaka jana yalinikuta hayo na ni huyohuyo mtu wanajifanya wacha Mungu ni wezii..tuma hicho kiela chako ulie kama ana lengo la kukutumia zawadi iweje aku charge ww tens???? Akili kichwani mwako....
Alianza kwa kunipa historia ya maisha yake na picha kibao nikajua nimekutana na mtumishi wa mungu
Mkuu na me ivo ivo but leo ndo nmeambiwa zawadi ipo Senegal nikawa nafikiria but SIKUAMINI ila e mail alianza yy facebook zen nikawa nachat nae
Duh kumbe ndo ivi
Mmmmmmmh