Zakia Meghi alisaidia Sana kukuza Tourism

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,945
3,237
Kati ya Mawaziri waliosaidia kukuza Tourism ni Zakia Meghi

Japo Mama alikuwa na Mapungufu yake kama Binadamu wa Kawaida, ila kwenye utalii Mama alimudu vyema

Namuomba Waziri Mpango, Maghembe na Mheshimiwa Rais amuone Zakia Meghi kwa Ushauri

Zakia Meghi aliweza kupambana na Hila za Wakenya

Utalii unaongeza ajira nyingi chanya

Utalii ni soko la mazao ya Kilimo

Utalii ni Soko la Curio & Women Weaving products

Tourism brings capital

Utalii inaleta Forex nyingi kuliko madini

Sasa kutazama VAT kama faida pekee, ni kukosa Vision

Tourism business ina trickle down na kuchangamsha biashara nyingine

Utalii ukishuka....Biashara nyingine zinadorora,,,,Serikali inakosa kodi
 
Serikali ya Kenya imeendelea kuongeza Incentive kwa Wadau wa Utalii (tour Operator & Hotel)

VAT EXEMPTION Tourism Kenya

Kenya: Vat Exemption for Locally Assembled Tourist Vehicles As Hoteliers Get Credit Facility | TravelWireNews

Je, Nyie Watanzania, Maghembe wenu amefanyaje kukuza utalii na kuhimiza uwekezaji?

Hata ile Pesa yenu wenyewe mnayochangia wanaibeba (Tourism Development Levy)

----Kuna anaeweza kujibu kama Mapato ya utalii yameongezeka baada ya kuleta VAT?

Kwa nini Budget hii ya 2016/2017 Imefeli vibaya hivyoooo
 
We're not serious or else we do not tend to stand by our words.
Jirani zetu wanatumia advantage yetu ya kuweka VAT kuweka exemptions kwao na kwa kufanya hivyo wanapiga hatua kumi mbele wakati sisi tunazidi kupiga hatua kumi nyuma.
 
Kiongozi lazima awe flexible na lazima asikilize wadau wa Utalii.

Private sector ni engine ya uchumi...Hawa ndio walipa kodi
 
Serikali haijaajiri, huu ni mwaka wa 2.

JK alitangaza ajira kila mwaka

Tourism can employ more people

Remove VAT
 
Hivi Mama Zakia Meghi yupo Bungeni au ni Mwenyekiti wa Bodi Shirika fulani
 
Back
Top Bottom