Zakaria Hanspope...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zakaria Hanspope......

Discussion in 'Sports' started by The Boss, May 23, 2013.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  May 23, 2013
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,718
  Likes Received: 21,804
  Trophy Points: 280
  Huyu Zakaria Hanspope wa Simba ndio yule yule
  aliewahi kutaka kumpindua Nyerere ?
  au majina yamefanana?
   
 2. C

  COPPER JF-Expert Member

  #2
  May 23, 2013
  Joined: Dec 28, 2012
  Messages: 1,600
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 180
  Ndio yeye, kuna ndugu yake naye alikuwa katika kesi hiyo na wakapatikana na hatia wakafungwa maisha ila Mzee Ali H.Mwinyi aliwasamehe ndio sasa unawaona mitaani.
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  May 23, 2013
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,718
  Likes Received: 21,804
  Trophy Points: 280

  Sasa Simba tu anafanya madudu
  kuongoza nchi angeweza?
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  May 23, 2013
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,639
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  ndio hapo chacha maana wanaivuruga mkia mpaka basi..
   
 5. B

  BARRY JF-Expert Member

  #5
  May 23, 2013
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 340
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 60
  Yule alikuwa Hans Poppe
   
 6. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #6
  May 23, 2013
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,035
  Likes Received: 412
  Trophy Points: 180
  Kesi ya kumdown nyerere ndio imemnyima uwenyekiti simba
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  May 23, 2013
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,718
  Likes Received: 21,804
  Trophy Points: 280
  na huyu?
   
 8. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #8
  May 23, 2013
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,928
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Huyu au?!

  Copy: The Boss . BARRY .


  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]


  Uganda Times, Thursday, May 24, 1979

  Picture caption reads: The remains of the late H. Poppe being taken into the plane at Entebbe Airport.


  Poppe's remains flown to Tanzania


  The Minister of Foreign Affairs Mr. Otema Allimadi yesterday handed over the remains of Tanzanian Senior Assistant Commissioner of Police, the late Hans Poppe was killed by Idi Amin's soldiers in 1971.

  The remains of the late Hans Poppe, who was in charge of West Lake Region were handed to the Tanzanian Foreign Minister Ndugu Mkapa.

  The ceremony which took place at the old Entebbe Airport was witnessed by the Deputy Minister of Internal Affairs Dr. Lutakome Kayira, the Inspector General of Police Mr. David Burlow and several officers from Tanzania Peoples Defence Forces.

  Mr. Otema Allimadi conveyed the government, UNLF, and the People of Unganda's deepest condolences of the bereaved family, the government and the people of Tanzania.

  He paid tribute to the late Hans Poppe who died while defending the co-existence and cooporation between the peoples of the two countries.

  Mr. Otema Allimadi later laid a wreath on the coffin of the deceased.


  The Tanzania Minister Ndugu Mkapa remarked that the late Hans Poppe for a heroic cause while fighting the government of fascist Idi Amin which was characterised by plunder, murder and aggression.

  Referring to Idi Amin's invasion of Tanzania in October of 1978, Ndugu Mkapa said the people of Tanzania and Uganda have won a war which Idi Amin waged to divide the people of two sister countries.

  The Tanzanian Minister also called for further strengthening of cooperation between the two sister countries.

  He paid tribute to the staff and doctors of Mulago Hospital for their efforts in recovering the remains of the late Hans Poppe.

  A Uganda Senior Assitant Commisioner of Police Mr. Okoth Ogola led a six man Uganda deligation to Tanzania to attend the burial of the late Poppe in Iringa.
   
 9. Ndoa

  Ndoa JF-Expert Member

  #9
  May 23, 2013
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Alikuwa baba yao. RPC mkoa wa Ziwa Magharibi (Kagera ya sasa), aliuawa na Majeshi ya Idi amin miaka ya sabini.
   
 10. andishile

  andishile JF-Expert Member

  #10
  May 23, 2013
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,431
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  umenikumbusha mbali,miaka ya themanini,mkurugenzi wa mashtaka ktk hiyo kesi alikuwa anaitwa william sekule,watoto wake walikuwa rafiki zetu na jirani zetu,ukienda kwao ulinzi taiti,nyie acheni tu jamani enzi za nyerere,ilikuwa heshima na adabu!
   
 11. KIKUNGU

  KIKUNGU JF-Expert Member

  #11
  May 23, 2013
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 853
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  The Boss,sijui kama yeye ndie angekuwa kiongozi,walikuwepo kina Hatty Mcghee,kina Uncle Tom ambao ndio walikuwa ma-ring-leaders,hawa kina Zakaria walikuwa army junior officers kwenye hilo jaribio,then Zakaria alikuwa ni Captain kwa cheo.He is very smart lakini,ana biashara zake,moja wapo ni LOGISTICS COMPANY,ana malori mengi tu ya kusafirisha mizigo Congo,Rwanda,Burundi,zambia na Uganda.Hizi Simba na Yanga ni matatizo matupu hata kama una vision hapo utakwama tu.
   
 12. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #12
  May 23, 2013
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,217
  Likes Received: 2,105
  Trophy Points: 280
  Kiongozi alikuwa mwalimu wa Chemistry Uncle Tom (Pius Rugakingira) sio father Tom, hilo alilitumia nyakati fulani fulani wakati wa msako ili kuficha ID yake.

  Hawa wakina Hans Pope wangeishia kupanda vyeo vya kijeshi tu kwenye nafasi za kisiasa wasingepata ukimuondoa
  Luteni Maganga ambaye angekuwa DGI. Ila nao walikuwa wana hofu kama viongozi watakuwa wanasiasa vipi
  wakishindwa kuongoza target si itakuwa kwao!!
   
 13. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #13
  May 23, 2013
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Huyu ndiye alikuwa Marehemu Baba yake Zak. Kikosi chake (kama siyo nimesahaulishwa na Valour ninayoishughulikia muda huu)
  Alichokuwa akionmgoza ndio waliteka Entebbe airport na Ikulu ya Entebbe ktk vita ya kumtoa Idd Amini.
   
 14. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #14
  May 23, 2013
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Samahani; Babake alikuwa RPC na aliuwawa ktk vanga la mwanzo la Idd Amini Nimemchanhanya na Brgd John Warden-ambaye ndiye alifanikisha kutekwa kwa Entebbe. Na ni ndg yake Hans Pope.
   
 15. P

  Pazi JF-Expert Member

  #15
  Oct 31, 2013
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 2,918
  Likes Received: 621
  Trophy Points: 280
  Hatty McGee kukamatwa kwake Kenya ni alirudi kutoka uengereza baada kusikia Mkewe amezaa yeye alitoroka na Uncle Tom, McGee alikuwa Captain wa ndege alivyo toa jela hakubahatika tena kumuona mwanae alivyotoka aliishi week au siku 3 sikumbuki ila kwa jamaa na baaazi ya watu stori za hao watu ni ndefu mungu awarehemu.
   
 16. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #16
  Oct 31, 2013
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,309
  Likes Received: 3,971
  Trophy Points: 280
  Hiyo ishu yao ilitokea lini?
   
 17. S

  SHIMBONONI Senior Member

  #17
  Oct 31, 2013
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Long time 1982/ 83 ndo jaribio lilipangwa kutekelezwa lakin kwa system ya TIS na uzalendo wa WaTz enzi hizo uliripotiwa na Dereva taxi waliyekuwa wanamtumia hivyo kukamatwa na wengne kutorokea Nairobi lakn hata hivyo walirudishwa kwa kubadilishana na waliojaribu kumpindua Moi. Eg Pte. Ochuka et al.
   
 18. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #18
  Nov 4, 2013
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,625
  Likes Received: 1,884
  Trophy Points: 280
  hii hans poppe story ya mapinduzi mbona ipo kule jukwaa la historia na siasa!
   
 19. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #19
  Nov 4, 2013
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,309
  Likes Received: 3,971
  Trophy Points: 280
  Ngoja nikaisake huko.
   
 20. Mungo Park

  Mungo Park JF-Expert Member

  #20
  Nov 4, 2013
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 80
  Ni ndugu wawili Zakaria na mdogo wake Harry Hans Pope.
   
Loading...