Zaidi ya vyama 15 vimebaki bungeni, unavifahamu?

Zaidi ya vyama 15 vimebaki bungeni, unavifahamu?

sambu

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
285
Reaction score
284
1.JAZI
2.ADP
3.AFP
4.TADEA
5.UPDP
6.CCK
7.CHAUSATA
8. SAU
9. UNB
10. DP
11.NLD
12.NRA
13.CHAUMA
14.UDP
na kingine kimoja. Just for information
 
Puuuuuumbaavuuuu

Vyama kwa kalenga na chalinze na wajinga wa nchi hiiiiiiiiiiii..
 
1.JAZI
2.ADP
3.AFP
4.TADEA
5.UPDP
6.CCK
7.CHAUSATA
8. SAU
9. UNB
10. DP
11.NLD
12.NRA
13.CHAUMA
14.UDP
na kingine kimoja. Just for information

Ni vitu gani hivi?
 
kakwambia nani sisi tunataka vyama mle ndani, ata kama umepitia chama mle hakuna uchaguzi ni haki za raia na mfumo sawia katika nchi...! think b4 you jump...!
 
huyu jamaa anayechangia eti uwaka wanawatenga wenye ulemavu kivipi tupambavu zake kada huyu kada wa kijani huyu!
 
Kwani hivi ni vyama? uliona wapi vinafanya siasa? siamini hata kama ofisi wanazo labda kama sebuleni kwao. Si kuna mmoja alikuja na mke wake bungeni?
 
Kwani wewe hukumsikia mjumbe wa kwanza kuchangia baada ya Ukawa kutoka alisemaje? Alisema sasa tumebaki ccm watupu hebu tuendeleeni kwa amani! Na walikaa kimya mpaka naibu mwenyekiti akajaribu kurekebisha! nadhani woote hao ni CCM!
 
Nahisi ACT kingekuwa na usajili wa kudumu na wangekuwa na mwakilishi naye angeongezea list hiyo. Angalau tumepata wasaa wa kujikumbusha utitiri wa vyama vya siasa vilivyokuwepokuwepo tu kwa maslahi yao.
 
Sina Uhakikika maana wakati wanatambulisha DP walisema amebaki mmoja. Labda aliyepo kwenye TV anaweza kutujuza. Nasikiliza Radio.
 
Ni punguwani tu ndio anaweza kupuuza nguvu ya wajumbe waliotoka ukumbini...

Hasa kwa Zanzibar CCM hana ubavu kabisa wa kupitisha chochote bila wapinzani wao.
 
1.JAZI
2.ADP
3.AFP
4.TADEA
5.UPDP
6.CCK
7.CHAUSATA
8. SAU
9. UNB
10. DP
11.NLD
12.NRA
13.CHAUMA
14.UDP
na kingine kimoja. Just for information

Hivi ni vile vyama vinavyo pewa hela na Ccm wakati wa uchaguzi ili wapunguze kura za vyama makini vya upinzani. Yaani ni vyama vilivyo anzishwa na makada wa ccm. Unamkumbuka Divutwa aligombea urais 2010. Kachukua mkwanja kajidai ni mgonjwa hadi uchaguzi ukaisha karudi roadini.
 
1.JAZI
2.ADP
3.AFP
4.TADEA
5.UPDP
6.CCK
7.CHAUSATA
8. SAU
9. UNB
10. DP
11.NLD
12.NRA
13.CHAUMA
14.UDP
na kingine kimoja. Just for information
Hivi vyama ni vingi sana katika Nchi Kama Tz ambayo Muungano wake sasa umegundulika Kuwa na nyufa na unahitaji ukarabati wa kiina.
 
Puuuuuumbaavuuuu

Vyama kwa kalenga na chalinze na wajinga wa nchi hiiiiiiiiiiii..

Mkuu punguza jazba kidogo maana kuna watu humu wako kwenye kampeni ya kutaftia ban wengine, hebu puuza pumba na upuumbavu wake kama unavyompuuza mpuumbavu huyo.
 
Sina Uhakikika maana wakati wanatambulisha DP walisema amebaki mmoja. Labda aliyepo kwenye TV anaweza kutujuza. Nasikiliza Radio.
Hata wote wakitoka lakini akibakia Christopher Tanganyika Mtikila anatosha.
 
Back
Top Bottom