ZAIDI YA VIWANJA 7,550 VIMEPIMWA

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,773
Reaction score
1,174
ZAIDI YA VIWANJA 7,550 VIMEPIMWA

Katika kipindi cha mwezi Julai, 2024 hadi Februari, 2025, Programu ya Kupanga, Kupima na Kumilikisha ardhi imepima viwanja 7,550 katika Mikoa ya Morogoro, Tanga, Kilimanjaro, Dodoma na Njombe.

Kwa upande wa upangaji wa miji, michoro ya mipangomiji yenye viwanja 126,935 iliidhinishwa na hati miliki za viwanja 3,569,994 kubadilishwa kuwa za kidijitali.
 

Attachments

  • FB_IMG_1744725003958.jpg
    54.2 KB · Views: 27
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…