Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,115
- 2,771
Bila shaka maisha yamezidi kuwa magumu. TRA inawakamua masikini, huku mizigo bandarini ikipungua kwa kasi. Wahamiaji haramu kila kona ya nchi hasa wachina, na Wakina Doctor Mwaka nao wakirudi kwa nguvu zote.
Tuliadiwa mengi, lakini hatuoni chochote. Serikali inayopenda Camera inajisahau kwamba tunaelekea kwenye mgomo baridi wa watumishi wa umma. Umeme nao umepunnguzwa bei hewa, kwani umeme wenyewe haupatikani unakatwa kila dakika, huku tanesco ikielekea kwenye umahuti wake kutokana na madeni. Mafanikio Ya Magufuli ni nini hadi sasa?