OGTV
JF-Expert Member
- May 22, 2016
- 353
- 167
Zaidi ya shilingi bilioni moja na milioni mia nane zimebainika kulipa watumishi hewa mkoani Dodoma kwa kipindi cha mwiezi miwili ya March na April mwaka huu huku mkuu wa mkoa huo Mhe Jordan Rugimbana akitahadharisha kuwa hatakuwa na msalie mtume kwa mkurugenzi au mkuu wa idara yeyote atakayebainika kuhusika na upotevu huo.