Ni breaking news ya ITV na RadioOne muda huu. Kitalu B cha Mererani ndo kinaungua!
Sasa kama taarifa ya jana ilitaja migodi 7 na leo ikaongezeka hadi kufikia 15 isitangazwe?
Kaka niko eneo ambalo ndio imetokea ajali mgodi we2 ni wa mwisho kabisa kwa kwenda juu,migodi ni 7 tu hiyo mingine huyu mwandishi ni muongo,pia ni migodi ya wachimbaji wadogo sio tanzaniteone kwa kaburu
Kwa hiyo ITV ni waongo! Wamepata wapi hizo taarifa? Kama si kweli mbona serikali haijakanusha!
Nimenukuu toka kwenye chanzo cha taarifa hii.
Udongo huwa unaungua?
Mimi mwenyewe mgeni kwenye utaalam wa miamba na madini!