Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,701
- 49,704
Kila nikiwaza, nabaki kusikitika tu.
Uongozi wa Magufuli, ambao aliuita serikali yake “serikali ya viwanda”, tangu alipofariki hakuna hata media moja kati ya zile zilizokuwa zikimpigia promo na kuitakasa serikali yake inayoweza kukuonyesha hata viwanda vitano tu vya enzi ya Magufuli.
Wananchi waliishi maisha magumu mno. Aliingia madarakani akiwa amekuta gari namba D, na hadi alipofariki bado magari yenye namba D yalikuwa mengi kabisa. Ujenzi wa makazi bora ya wananchi ulisimama kutokana na hali ngumu ya maisha, huku kampuni na biashara zikifungwa kwa sababu ya mazingira magumu ya kiuchumi.
Lakini pamoja na hayo, mpaka leo huwezi kuwaambia wananchi chochote kuhusu “Jiwe”. Kuhusu ajira, ndani ya karibu miaka saba alitoa jumla ya ajira zisizozidi 20,000, idadi ambayo Rais Samia anaweza kutoa ndani ya nusu mwaka tu.
Roho za uchawi ndani ya jamii ndiyo sababu kuu iliyowafanya Watanzania wampende Magufuli. Maskini na wachawi walifurahia sana yale mambo ya tumbua tumbua.
Mara bureau de change kuporwa pesa zao kwa kutumia mijeda, kisha pesa kufukiwa Chato nyumbani kwake; maskini walifurahia sana wakiamini kuwa matajiri wangekuwa maskini na kuwa machinga.
Tajiri ni mtu wa ndani. Hata umpore kila kitu na umwache na boxer tu, lazima ainuke tena. Vivyo hivyo kwa maskini na mchawi. Hata umpe bilioni moja, ndani ya miaka miwili tu anaweza kufika mahali ambapo hata buku hana.
Raha ya maskini na mchawi ni moja tu: kusikia tajiri analia.
Hata Rais Samia angewafanyia maigizo ya kuwatikisa matajiri na mabosi serikalini, wananchi wangemkubali sana. Rais Samia angekuwa kinyume na watumishi wa umma, wananchi wangempenda zaidi, maana baadhi yao wanaumia sana kuona Rais Samia akiwapenda na kuwajali watumishi wa umma.