Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,201
Kazi iendelee mpaka Synovet waje washangaye na tafiti zao za kupikwa kwenye mi-benchi maofisini. Kimsingi uongo uliotangazwa majuzi na shirika hili uwe ni sehemu ya changamoto ya makamanda wote kote nchini kujituma zaidi na zaidi kama kamanda Mawazo vile.
Kazi iendelee tukilenga zaidi vijijini.
Kazi iendelee tukilenga zaidi vijijini.