Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,125
- 8,232
Kidonge kichungu hiki kwa dikteta Jiwe.
JK Nyerere alishawahi kusema upinzani wenye nguvu utatoka ndani ya mataga humohumo.Upinzani wa kweli umeanza
Mzee ameamua kumwaga mboga. Hata wabunge wengi tu humo wamefiwa na watu wao wa karibu lakini wanapiga kimyaaa kisa uoga😆😆Upinzani wa kweli umeanza
He was a true ProfetJK Nyerere alishawahi kusema upinzani wenye nguvu utatoka ndani ya mataga humohumo.
Hii ni rasha rasha tu!!
Wanaanza kufunguka, uzuri au ubaya huyu mdudu achagui, abagui.Mzee ameamua kumwaga mboga. Hata wabunge wengi tu humo wamefiwa na watu wao wa karibu lakini wanapiga kimyaaa kisa uoga😆😆
Huyu mbunge aache wenge. Tanzania hakuna covid 19.Mbunge wa Mbulu Mjini (CCM), Zacharia Isaay ametaka Serikali ya Tanzania kueleza wazi kuhusu alichokiita ugonjwa wa kupumua ambao anasema unamaliza watu wa Mbulu.
Isaay amezungumza kwa hisia kali bungeni leo Alhamisi Februari 11,2021 akisema hawezi kuzungumzia mpango badala yake anaona bora azungumzie hali ya wananchi wake ambao kila mara anakwenda kuzika.
"Serikali iache kigugumizi jimboni kwangu watu wanakwisha Spika,nimechoka kuzika hata leo wanazika mtoto wa diwani wakati mwingine nashindwa kukuaga Spika kwenda Mbulu naamua kutoroka,"amesema Isaay.
Mbunge huyo anasema wanaopoteza maisha jimboni kwake magonjwa yao yanafanana ambayo ni tatizo la kupumua akihofia kuwa msimu wa baridi jimboni kwake utaendelea kuwaumiza.
"Jana nilikwenda hospitali ya hapa Benjamin Mkapa (Dodoma) kwa ajili ya kufanya vipimo lakini wakaniambia mitungi ya gesi imejaa,watu ni wengi sasa nimesema kama watu watanichukia basi lakini nimesema," amesema Isaay.
Mbunge huyo ameomba Serikali kuangalia namna ya kuboresha dawa za miti shamba ambazo ameeleza kuwa zinasaidia kwa kiasi kikubwa lakini akabainisha kuwa zinapatikana kwa gharama kubwa.
-----
Maoni Yangu
Tukipata wabunge watano jasiri kama huyu, Tanzania tutapona.
Juxi katibu mkuu Afya kasema ametembelea hosipitali zote hali ni nzuri. Hebu ona mbunge kaenda hosipitali anasema hali ni mbaya.
Hawa wataalam wana takiwa kunyongwa.
Apige pale kwenye kile kiti cha juu pale mbele ya Ile fimbo ya dhahabu, ndipo mtafutano unoge.Wanaanza kufunguka, uzuri au ubaya huyu mdudu achagui, abagui.
Angalau huyu ame risk maisha yake kwaajili ya wana mbuluMbunge wa Mbulu Mjini (CCM), Zacharia Isaay ametaka Serikali ya Tanzania kueleza wazi kuhusu alichokiita ugonjwa wa kupumua ambao anasema unamaliza watu wa Mbulu.
Isaay amezungumza kwa hisia kali bungeni leo Alhamisi Februari 11,2021 akisema hawezi kuzungumzia mpango badala yake anaona bora azungumzie hali ya wananchi wake ambao kila mara anakwenda kuzika.
"Serikali iache kigugumizi jimboni kwangu watu wanakwisha Spika,nimechoka kuzika hata leo wanazika mtoto wa diwani wakati mwingine nashindwa kukuaga Spika kwenda Mbulu naamua kutoroka,"amesema Isaay.
Mbunge huyo anasema wanaopoteza maisha jimboni kwake magonjwa yao yanafanana ambayo ni tatizo la kupumua akihofia kuwa msimu wa baridi jimboni kwake utaendelea kuwaumiza.
"Jana nilikwenda hospitali ya hapa Benjamin Mkapa (Dodoma) kwa ajili ya kufanya vipimo lakini wakaniambia mitungi ya gesi imejaa,watu ni wengi sasa nimesema kama watu watanichukia basi lakini nimesema," amesema Isaay.
Mbunge huyo ameomba Serikali kuangalia namna ya kuboresha dawa za miti shamba ambazo ameeleza kuwa zinasaidia kwa kiasi kikubwa lakini akabainisha kuwa zinapatikana kwa gharama kubwa.
-----
Maoni Yangu
Tukipata wabunge watano jasiri kama huyu, Tanzania tutapona.
Juxi katibu mkuu Afya kasema ametembelea hosipitali zote hali ni nzuri. Hebu ona mbunge kaenda hosipitali anasema hali ni mbaya.
Hawa wataalam wana takiwa kunyongwa.
...Kwenye ile ' nundu' iliyojaa jeuri na kiburi cha mamlaka!Apige pale kwenye kile kiti cha juu pale mbele ya Ile fimbo ya dhahabu, ndipo mtafutano unoge.
AmejilipuaMbunge wa Mbulu anasema jimboi kwake amefriki watu wengi wenye waliokuwa na dalili za Corona kiasi kwamba kwa sasa amekuwa akipokea taarifa za misiba na kuzipotezea
Ameendelea kusema pia Serikali imeshauri watu kutumia dawa za miti shamba lakini watu wamkuwa wakinywa tu kama gongo sababu hakuna muongozo maalumu
Pia amesema ametembelea Hospitali ya BW Mkapa na kuambiwa mitungi yote ya Oksijeni imeisha na kutahadharisha kuwa watashindwa hata kuwalinda wataalamu wa afya na kumba Serikali kuongeza miungi hiyo.
acha nicheke tuMpaka wote tuwe na lugha moja, na hii covid 19 mpya haisikii mafukizi ngoja iguse pabaya ndiyo akili itatukaa sawa.