kitchen party inaendeleaje....kuna usalama..au ndo ushaangusha gari mc....
ha ha ha unakumbuka siku ile nlivyokuita shem afu leo tuna kitchen party tukimaliza tutawaita na nyie me muje
naona kuna watu unwatafuta ubaya hapa
Nimepita mitaa ile nimecheka sana!
Mmenifurahisha sana!