Zaburi 23 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zaburi 23

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bujibuji, May 8, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,383
  Likes Received: 22,259
  Trophy Points: 280
  Nikiisoma huwa nafarijika sana.
   
 2. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  Bwana ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu.
  Asante kwa Zaburi hii nzuri.
   
 3. S

  Stany JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  I like it.
   
 4. S

  Smarty JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 729
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 60
  mi naipenda mathayo 7:7 inasema ombeni nanyi mtapewa!!
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  May 8, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Imetulia na hunibariki sana..
   
 6. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #6
  May 8, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  One Love Katavi
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  May 8, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mi nimeikariri na hua naisema kila usiku....naamini hua inafanya mambo yangu yaende yapasavyo maana mlinzi nae na kikombe anakijaza mabaraka tele!
   
 8. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #8
  May 9, 2011
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  kumbe bujibuji nae huwa anakuja kivingine? nimezoea nikikutana nae kule kwetu kule huwa mambo ni bam bam!
   
 9. Esperance

  Esperance JF-Expert Member

  #9
  May 9, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inanibariki sana, ongezea na Zaburi ya 121. Nitayainua macho yangu niitizame milima, msaada wangu utatoka wapi? Msaada wangu u katika bwana.....
   
 10. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #10
  May 9, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Ndio kilichonifanya nimwamini na kumtegemea MUNGU, hivi ninavyosema leo hii niko kwenye Kazi Mpya, Ofisi mpya na kila kitu ndani....Nilikopita ni mbali na kugumu sana, Kama si BWANA aliyekuwa pamoja nasi, Israeli na aseme sasa,. Kama si BWANA aliyekuwa pamoja nasi, Wanadamu walipotushambulia.....Zab 124
   
Loading...