KiuyaJibu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2007
- 852
- 204
Wanafunzi 5 walitoroka na kwenda disko usiku , waliporudi asubuhi wakawawamechelewa kufanya TEST. Ikabidi wamdanganye mwalimu kuwa walilala msibani; wakapewa wiki 1 yakujiandaa ili wafanye special test. Siku ya test wakapangwa kila 1 kwenyedarasa lake; na maswali yalikuwa 3 tu.
1. Aliyekufa ni nani?
2. Msiba ulikuwa wapi?
3. Wamezika wapi?
Angalizo/Mwongozo Majibuyanatakiwa yafanane kwa wote 5; tofauti na hilo unakuwa umefukuzwa shule mojakwa moja.
Je, unajuanini kilitokea?