Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,088
- 100,552
- Thread starter
-
- #21
kudadeki!! Kumbe Mtu Chake alifanikiwa kuchukua mzigo?
ya ardhi.....au ya bahari....?
wenye wivu mmeshaingia.....
Hooi leo.....
Source....PJ
Hooi leo.....
Source....PJ
Tatizo TANMO mpk awepo PJ ndio anaongea yeye mwenyewe domo zege...hahahahahaha
Dah 🙁
Haya Bana, Hepi Valentine kwenu ninyi mpendanao..
Mshikamane, msiudhiane, mpendane na mzae muijaze dunia.
Dah 🙁
Haya Bana, Hepi Valentine kwenu ninyi mpendanao..
Mshikamane, msiudhiane, mpendane na mzae muijaze dunia.
Na leo mtoto nimemchukulia WINE...hahahahaha....
mbona hujamwambia ni ya rangi gani bana.....
Happy Valentine tu yu tu.....
he!....mambo gani sasa hayo hapo kwenye blue.....?
RED WINE au ulitaka ipi Bebi...na hapa nafanya mawasiliano na Kerby Hotel au Picolo watuandalie dinner
Mkuu hapo penye red unaniangusha sasa, ina maana unabahatisha?