Za Lameck zinahesabika?

hivi hizi habari ni za kweli mimi hua nadhani kabobo za mitaani
 
Kwaiyo mbioo za Katiba mpyaa zinasuburia kwanza watu wapate connection AI

Baadhi yenu ndio
mliwachochea Vijana wakafanye
Maandamano yasio ya kisheria

Watoto wamekufa nyinyi watu wazima mnaangaika na Connection Fake

Kweli Chadema yasasa ni OOO

Siku ya kumfunga Mwenyekiti wenu t
Tatawaangushia
AI ya Mzee Wasira
Sijui iyo siku mtaamia wapi πŸ˜€
 
Naweza kuthibitisha kuwa ameshindikana kuondolewa kwenye hicho cheo kwa kumdhuru au kumfukuza.
Hata yeye alisema mwanzoni mwa mwaka huu kuwa kuna watu wanamkalia vikao lakini hawezi kumfanya kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…