Z U Z U

Z U Z U

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,254
*Zuzu* alipewa gari aendeshe matokeo yake akaua watu 50
*Traffic*:Imekuaje ukaua watu wote hawa?
*Zuzu*:Nilikuwa spidi ghafla nikaona watu weng kushoto na mmoja kulia wewe traffic ungefanyeje?
*Traffic*:Ningemgonga yule mmoja ilikuokoa maisha ya watu wengi
*Zuzu*:hicho ndo nlichokusudia lkn nlivotaka kumgonga yule mmoja akakimbilia kwa watu weng akadhan sijamwona nikamfata huko huko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom