Yuwapi David Kafulila wa Adani?

Tanesco imekuwa ikiachana na cobweb ya mikataba ya kifisadi, na wa karibuni ulikuwa wa Song as, kafulila anaturudisha kulekule, hebu atupishe
 
Ndiyo maana nikasema hakufanya vetting nzuri. Kama angefanya asingekurupuka na Adan.
Kafulila alikurupuka tu ,Adani ni tapeli muda mrefu ana misururu ya skendo chafu kama manipulation na forgery kwenye masoko ya hisa huko kwao Asia ,tena hii pia ni mwaka huu huu
Huyo mpuuzi wenu Kafulila mnayemwona kama Think tank wenu nyinyi mbwa wa chama cha mazezeta ccm alifanya due diligence ipi ,wakati huyu Adani hizi tangia mwaka jana zinavuma tu skendo chafu hata kwenye vyombo vya habari duniani ?
Mpaka sisi laymen kwenye masuala ya investment tunajua haya ?
 
Reactions: G4N
Zezeta ni wewe na Mbowe
 
Huyu nyani mkongwe hasikii wala haoni analamba asali!
Kama Kenya wamefuta mikataba yake na kuna ushahidi pasipo shaka kuwa Adani aliwahonga viongozi wa Kenya, je kuna sababu ya kutoamini kuwa kuna viongozi Tanzania waliohongwa na Adani?
Hiyo mikataba ya PPP ya Adani group iwekwe wazi tujue waliohusika kupitisha hiyo mikataba!
Watu waliokushika athari za rushwa kwa ustawi wa jamii ndio wanafanya mzaha na rushwa za Adani kwa wakina Kafulila!
 
Adani hana Mkataba wa PPP na TANZANIA
 
Adan ni gunia la chawa halibebeki
 
Adani hana Mkataba wa PPP na TANZANIA
Huo mkataba wa Bandarini na huo wa kujenga Transmission lines za Tanesco alisaini na nani? Yote ni mikataba ya Samia!! Mama corrupt sana huo ushungi anavaa geresha tu!
 
Anasubiri na "ntokeje" single mpya, tunasubiri tollway ya Ubungo-Moro aliyosema ujenzi unaanza Feb 2024 coz tunaingia 2025 kwa mbwembwe sasa tunatamani kudrive 1hr to Moro ati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…