Yuwapi David Kafulila wa Adani?

Muha huyu hajui kufanya vetting ya wawekezaji, ndiyo maana alikurupuka kwa Adan.
 
Kwa mfano ungekuwa ni wewe ungetumia njia gani kufanya hiyo Vetting
Baada ya wao kuonesha interest ningewakabidhin FBI, CIA na interpol wafanye uchunguzi kwanza ndipo niruke hewani na jina la Adan
 
Baada ya wao kuonesha interest ningewakabidhin FBI, CIA na interpol wafanye uchunguzi kwanza ndipo niruke hewani na jina la Adan
Daaah kwa gharama ya nani mkuu?
 
Mara ya mwisho ameonekana Clouds Tv akipiga fix
 
Binafsi hata nisipomuona tena kwenye Udalali well and good nachoomba ni vyombo husika vifanye utafiti kama itaonekana kuna Rupia yoyote ilipenyezwa kwenda kwake basi awekwe mbali na mali za UMMA

 
 
Daaah kwa gharama ya nani mkuu?
Serikali hii hii. Kama kuna hela za magoli ya Simba na Yanga, pamoja na milioni 700 za taifa stars, milioni 150 za kumpatia Askofu Shoo, milioni 400 za kununua gari la zawadi ya shekhe, n.k zitakosekana hela za kufanyia uchunguzi wa jambo jema kama hili?
 
Nakubaliana na wewe kwa 100%
 
Kuzuia rushwa au upendeleo kwenye tendering hata hayo mataifa yenye civil services imara mpaka leo hawajaweza dhibiti.

Huyo Adani ukipekuwa hadi kupata makash-makash utakuta ni wivu tu. Tena kwa nchi kama US yenye ushindani si ajabu tender zake ni value for money (mengine siasa tu).

Shida yetu sisi huyo-huyo Adani kwa sababu hatuna committed visions (ilimaradi, liende) na kwa sababu hatuna uwezo wa kuendeleza jambo fulani.

Kutokana na njaa zetu na kutokuwa na visions hawa watu wanakuja na offers za hovyo, halafu sisi wenyewe hatuna akili ya kuona madhara yake ya kupoteza kipato na impact zake kwenye national strategy.

Shida inaanza kuweka watu wasio na sifa kwenye technical post, Kafulila ana qualification gani ya kuongelea mambo yenye investment yenye tija kwa taifa zaidi ya ujinga na uchawa.

Kabisa wewe na akili zako timamu na kama unataka value for money unaweza sikiliza upuuzi wa mtu ambae hana uelewa wa maswala ya finance kama negotiator wako wa wakezaji, kisa either yeye mwenyewe ana mi ID luluki ya kujibu ujinga wake humu au kuna mataahira anayoyapa hela ya chai kuja kuandika ujinga humu.

You must be very stupid, kumuachia mtu kama Kafulila kukuamualia thamani ya miradi kwa nchi kwa upana wake.

Very stupid kama Kafulila ndio mshauri wako, very very stupid

Like serious very stupid, hivi unajua hiyo tsh 3.3 trillion utakavyo ilipa, you must very stupid kama Kafulila ndio mshauri wako. Very very stupid.
 
Tatizo lako hujui kuwa michezo ni Uchumi
 
Askofu Shoo kumbe na yeye kapata kijiko cha Asali ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…