MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 9,955
- 14,546
Bado hakuna kampuni ya kuishinda Scania. Na labda huko ambapo Yutong zinasumbua wana Scania model za zamani. Sasa hivi kuna Scania F330 ambako kwa Mwanza wanazo kampuni ya Ally's, kwa Mbeya kuna Nganga, Budget, Moshi na Arusha kuna Dar-Express na mengineyo. Bado hakuna Yutong ya kukimbizana na hizo gari. Ina Scania Euro6 engine 9.0L Turbo Intercooler plus Turbo Compound inayogenerate 330HP na 1600 Nm of Torque and a top speed of 130kph (Scania Euro 6 buses and coaches) ulinganishe na Yutong yenye engine ya Cummins 300HP Turbo and the max speed of 110kph(ZK6116D-YUTONG). Nissan Diesel haziwezi kupambana na hao wawili kwa kuwa hazinaga Turbo ila zina sifa ambayo hayo yote hapo juu hayana nayo ni uwezo wa kwenda safari ndefu mno. Ukitaka kuhakiki angalia kampuni zenye mabasi yanayokwena nje ya nchi..
Juzi nimetoka Mbeya na Nganga ile kitu ni mwisho wa habari, hakuna Zhongtong wala Yutong, it is very powerful kiasi kwamba mnakuwa 120kph na bado engine in rev kwenye 1300-1500, inakimbia bila ku-struggle. Moro tumeingia saa 9.00 tukala faini kwa kuwahi na kupewa amri ya kusubiri mpaka saa 10.
Bado hakuna kampuni ya kuishinda Scania. Na labda huko ambapo Yutong zinasumbua wana Scania model za zamani. Sasa hivi kuna Scania F330 ambako kwa Mwanza wanazo kampuni ya Ally's, kwa Mbeya kuna Nganga, Budget, Moshi na Arusha kuna Dar-Express na mengineyo. Bado hakuna Yutong ya kukimbizana na hizo gari. Ina Scania Euro6 engine 9.0L Turbo Intercooler plus Turbo Compound inayogenerate 330HP na 1600 Nm of Torque and a top speed of 130kph (Scania Euro 6 buses and coaches) ulinganishe na Yutong yenye engine ya Cummins 300HP Turbo and the max speed of 110kph(ZK6116D-YUTONG). Nissan Diesel haziwezi kupambana na hao wawili kwa kuwa hazinaga Turbo ila zina sifa ambayo hayo yote hapo juu hayana nayo ni uwezo wa kwenda safari ndefu mno. Ukitaka kuhakiki angalia kampuni zenye mabasi yanayokwena nje ya nchi..
Tena hapo hyo yutong wameipendelea kuwa na 300hp cz wamepimia kweny rpm 2200 wakat scania kapimia kweny rpm 1900 na co kwamba haiwez kufika yutong,ilipofika ni kwamba scania katumia low rev philosophy ambapo hyo cummins ya 300hp ikipelekwa kwa scania ikapimwa kama nyingne itakua na 250 hp
Hapo sasa wengine tuliokimbia masomo ya sayansi yetu macho.
Maana hadi HP computer imo,au
Ha ha hp means horse power
Acha utani Mkuu.youtong balaa usipime
Ni kweliYUTONF NI NYEPESI MNO HAZIPO STABLE KAMA SCANIA NIKISAFIRI KWA YUTONG HATA SISINZIII ILA ILOPOKIWA SCANIA NALALA KABISAA
Umenkumbusha hizo bus zilikuwa znaitwa american passenger...nlikata tiketi siku 5 before safar ili niione ipojeKwa uimara Scania inaonoza kwa mbali kuliko Yutong, Zipo bus za 1990 zinatembea bila tatizo. mchina hadumu barabarani, nadhani mnakumbuka zila bus zenye rangi ya bendera ya Marekani zimekaa barabarani miaka 3 na sasa hazipo. Pia zile buffalo za kichina zilifanya kazi kwa miaka 2 zikafa. Scania ni moto, usipime.