Yusufu Manji kwaheri!

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
8,464
Reaction score
4,828
Tuachie yanga yetu usije ukatuua kwa shinikizo la damu au sonona, timu haiitaji fedha, inahitaji spirit!

Tumekuvumilia sana tumekuchoka.

#Manjiout
 
Nipeni tenda niwaletee canter iliyojaa bakora aka fimbo makao makuu ya kilabu chenu.
 
Mmeshalemaa ndio maana anawapelekesha.

Yeye ndio sauti ya mwisho. Hakuna anayepiga chafya au kujamba bila amri yake. Ndio maana mnampigia magoti.

Yanga unayoizungumzia wewe haipo mmebaki vikaragosi vya kupelekeshwa. Hata baada ya mechi hii hakuna atakayethubutu kusema chochote. Mark my words. Sana sana atatimuliwa kocha.
 
Vumilieni tu manake mnafukuza kila mkifungwa mnafukuza makocha. Tangu lini Mhindi akawa kiongozi wa timu ya wananchi!

Mmesahau historia ya Yanga na sasa mnakumbatia wenye fedha
 
Jamaa aliyekuwa Star TV alisema Yanga inacheza na inawazidi mchezo simba ila wao simba wanazidi kwa bechi la ufundi labda yanga itamfukuza mtu ili warejee kwenye benchi la ufundi; hofu yangu hapa wasije wakawageukia ndugu zetu albino serikali iwe makini
 
ni akili za kichina kudhani ubora wa yanga ni kuifunga simba and vice versa. kama team ibaongoza league unataka nn zaid ya hilo
 
muhindi cricket mpira wapi na wapi na wahindi
 
Yanga acheni kuchagua viongozi wajinga badala ya kupanga mbinu za kushinda wananunua kesi
 
ni akili za kichina kudhani ubora wa yanga ni kuifunga simba and vice versa. kama team ibaongoza league unataka nn zaid ya hilo

Utamu wa ubingwa ni kumfunga mtani wako.

REF: Vodacom Premier League ya 2011/2012.
 
simba ina misimu mingapi haijacheza mechi za caf kuifunga yanga imewasaidia nn zaid ya sifa za hapa hapa nyumbani

Simba Sc "taifa kubwa" haijacheza misimu kama miwili, ila kuinyanyasa Yanga ni inatupunguzia machungu ya kutoshiriki kombe la CAF sisi wanazi wa Msimbazi.
Yanga iliyonyanyaswa na Simba misimu iliyopita na imeshiriki CAF, imefaidika na nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…