Yusuf Manji awasili Polisi kituo cha Kati kuitikia wito wa RC Makonda

Nadhani ahifadhiwe hapo,mpaka siku ya ijumaa ambayo ndio aliyopangwa,si yeye anavyotaka kupanga.
 
Sio kweli, Manji anaonekana mweupe kichwani kwa mtazamo wangu, hakukua na sababu ya kuitisha press conference na kuongea ule ujinga
Yeye kama diwani wa mbagala kuu kitendo cha kusema Makonda akimtuhumu ni mpumbavu huoni tayari kamtukana kiongozi wake (diwani kusema mkuu wa mkoa ni mpumbavu hiyo unaionaje? Au kwa sababu ana pesa ndo maana hamuoni huo utoto?)

Kaambiwa aende polisi ijumaa yeye anaenda leo kufanya nini anabeba mawakili 8 wanini nani kamwambia kule kuna kesi?

Kitendo cha kutajwa kwenye media na RC yeye anapanic na kuita wanahabari tatizo liko wapi?
Hoja zake Mara makonda ntamshitaki, Mara makonda ni mdogo wangu huo ni utoto.

Nje ya kua mwenyekiti wa Yanga, ukiachana na udiwani wake Manji ni Mtanzania kama watanzania wengine anapaswa kuvitii vyombo vya ulinzi na usalama.
Salute kwako Mkuu nimekuelewa
 
Kisheria yuko sawa Polisi hawana haki ya Kumpangia Mtu siku ya Kuripoti ila wana haki ya kumpa taarifa kuwa anatakiwa Polisi. Mahakama pekee ndo hupanga mda na siku. Mawakili 8 na 2 kutoka nje si wa kubeza.
Hakuna wakili toka nje ya nchi anaweza kufanya kazi Tz bila kupewa kibali cha muda na Jaji Mkuu. Hivi wageni wameshapata hicho kibali ndani ya masaa 24 yaliyopita!? Kama ni kweli basi nasema "shikamoo pesa"
 
Hizi Ni Kodi Zetu Zinachezewa Tu Na Makonda,

Hivi Ni Wapi Naweza Pata Details Ni Kesi Ngapi Serikali Ilipeleka Mahakamani Tangu JPM Aingie Madarakani?

Na Kati Ya Hizo Ni Ngapi Serikali Ilishinda Na Kwenye Kesi Walizoshindwa Ni Fidia Kiasi Gani Wametakiwa Kulipa?

Nafikiri Huu Ni Mwaka Wa Wanasheria Kupiga Pesa, Unapota Mwanya Wanasheria Utumieni

Wajinga Ndiyo Waliwao, Napata Hisia Za Kuanza Kukwepa Kulipa Kodi Sasa
 
9ea6e821193827e4c3ba9a14d2af9da7.jpg

Picha huwa inaifisha ujumbe kuliko hata maneno ya kinywa. Ogopa kamera.
wanayanga wote weka kwenye list ya madawa.. kuna yule karigo e karigo yuko south afrixca .. hawa ndio wale wale
 
Ngoma hapa inakuwa ngumu kwa Makonda kwasababu hawezi kuwatumia Polisi, ku plant kipisi cha bangi nyumbani kwa Manji, kama alivyofanya kwa Wema Sepetu. Nyumba ya Manji inalindwa na CCTV. Sasa sijui exhibit Makonda atakitowa wapi kuishawishi mahakama kwamba Manji anajihusisha na biashara ya madawa ya kulevya. Hapa wazungu wanasema "Makonda has shoot himself on his own foot" A crippled soldier cant win a war.
 
Back
Top Bottom