Yusuf Manji atarudi kuiongoza tena Yanga?

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
5,759
2,000
Kimya kimetawala Yanga haina mwenyekiti na uchaguzi uko kimya. Hii inamaanisha nini, Manji karudi au TFF na BMT walitishia nyau kutangaza uchaguzi wa mwenyekiti na wajumbe wengine?

Manji ni mtu muungwana anayeitakia mema Yanga, tunamuomba aache kuwagonganisha wanachama na shabiki wa Yanga, TFF, BMT na serikali kwa kukaa kwake kimya. Yanga inatakiwa ipige hatua sio kuendeleza migogoro kwenye club.

Ni wakati wa Manji kujitokeza hadharani Kwa mara nyingine kuonyesha msimamo kwenye jambo hili la uwenyekiti
 
Mc Tilly Chizenga

JF-Expert Member
Feb 7, 2012
4,453

Kwani hajaonyesha msimamo mpaka sasa??nadhani shida sio Manji, shida ni huku kutishia Nyau kwa mamlaka!Kumbe haziwezi kuchukua hatua maagizo yao yasipotelekezwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom