Kujaza uwanja mashabiki wa Yanga walizoea kulipiwa na Yusuf Manji

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
3,937
2,000
Wadau nadhani mtakumbuka kuwa Aliyekuwa Mwenyekiti wa Yanga Yusufu Manji alikuwa na utaratibu wa kuwalipia Kadi na Viingilio Mashabiki wa Yanga.Tabia hiyo imezoeleka ka Mashabiki wa Yanga.Sasa hivi Yusuf Manji hayupo hivyo hakuna wa kuwalipia Mashabiki hao ndio maana Wanashindwa kwenda Uwanjani.Namshauri Mwenyekiti wa Yanga arudishe Utaratibu wa Yusuf Manji wa kuwalipia Mashabiki ili waujaze Uwanja.
 
Joseverest

Verified Member
Sep 25, 2013
42,827
2,000
Wadau nadhani mtakumbuka kuwa Aliyekuwa Mwenyekiti wa Yanga Yusufu Manji alikuwa na utaratibu wa kuwalipia Kadi na Viingilio Mashabiki wa Yanga.Tabia hiyo imezoeleka ka Mashabiki wa Yanga.Sasa hivi Yusuf Manji hayupo hivyo hakuna wa kuwalipia Mashabiki hao ndio maana Wanashindwa kwenda Uwanjani.Namshauri Mwenyekiti wa Yanga arudishe Utaratibu wa Yusuf Manji wa kuwalipia Mashabiki ili waujaze Uwanja.
NI WIVU TU UNAO...
 
Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
22,315
2,000
Enzi hizo wanajiita ‘Dar Young Africans’ kwa sababu ya Jeuri ya Pesa ya Ponjoli

Siku hizi wanajiita ‘Timu ya Wananchi’ hata Mzee Akilimali kakimbia Msoto wa kufulia
 
famad

JF-Expert Member
Feb 19, 2019
243
500
Hapo ni kweli, Yanga kwenye vijiwe na mitandao wapo vizuri ila kwenye kujaza uwanja ili timu iingize mapato wanakua wazito. Style nzuri ya kuchangia timu ni viingilio (kujaza uwanja) na kununua jezzy.
 
KeyserSoze

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
3,249
2,000
Hivi Timu kupendwa na wasiojiweza au mafukara na makabwera ni aibu ? Mi nilidhani ni sifa ? ukizingatia hao ni majority
 
Top Bottom