Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 63,664
- 112,818
Ndo bifu nnayoijua baina yake na dereva wa roli kama wajua tofauti sema piaManji mnamsingizia vitu vingi sana ila pamoja na kuwa ana dharau zake una uhakika ni Manji ndiye aliyesema haongei na mbwa bali mwenye mbwa?
Ila anampa jamba jamba too muchNikishangaa kusikia bado anataka kununua nakumatt bilidhani kwa hizi figusu atapunguza uwekezaji wqke nchini
Usijikute una undugu wa karibu na manji unajipa pressure tu buure.... acha watu wanyooshe km anaonewe si aseme kwamba nimelipa kodi wananisingizia....... sa hapo tatizo nin..Hivi anayedaiwa nchi hii ni Manji pekee? Tshs 300 milioni? Maana huu ni unyanyasaji wa kishamba na wakijinga kabisa!
What a shame!
Si kweli.iliuwa mil 100milioni 300? Manji akamatwe kisa milioni 300 wakati ameishawahi kutoa milioni 400 watu waingie free uwanja wa taifa....
Zike zilikuwa ni faida ya sembe lkn hizi mmmmh faida yake ni tin namba siomchezomilioni 300? Manji akamatwe kisa milioni 300 wakati ameishawahi kutoa milioni 400 watu waingie free uwanja wa taifa....
Au hiyo pesa niilipe mm?? Ili tuepushe upepo kwenye jahazialipe tu kama anadaiwa. mbona aliwahi kutulipia pure kama 100M kuingia uwanjani bure, hiyo 300M sioni kama inamshinda.
Tujiulize kwa kwelimilioni 300? Manji akamatwe kisa milioni 300 wakati ameishawahi kutoa milioni 400 watu waingie free uwanja wa taifa....
Wameshampa usugu. Sasa wanae hapa hapa haendi kokote kule. Tena ana mpango wa kufungua vibanda vya kuuza vocha na Juice ili wasipate shida kumtafutaNingekuwa Manji nasepa zangu...
Akili yangu ilikua inaona bilioni 300million 300 si kitu kwa manji