Yusuf Manji ajiondoa Quality Group of Companies

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,739
32,866
image.jpeg
image.jpeg

Yusuf Manji aamua kujiweka kando na Quality Group of Companies

Source: Daily News 13/04/2016
 
So why retire, I may be asked?

Kwa jinsi swali lilivyoulizwa inaonekana hakuwa na elimu ya kutisha. Kwa hiyo nadhani amejitahidi sana kiuongozi wa biashara. Apumzike kwa furaha.
 
Kabla picha kuanza nshadataaa, huyu si ndio alikua anapiga madili na NSSF kwa kununua majengo Yao kwa bei ndogo then anakuja kuwauzia NSSF hao hao kwa mabilion ya fedha? Baada ya kuona Hali ya Dr. Dau ni tete na soon Mikataba itaanza kupitiwa upya ameaanza kujitenga na QUALITY GRP kesho kutwa utashangaa QUALITY GRP imefilisika. Staili kama ya HOME SHOPPING CENTRE hivi. Ni shiida
 
Vitu vya msingi vya kujiuliza....!!!!

Ilo Gazet la lin.....???

Na ni Gazet lip....???

Nin mana ya kujiweka kando.....!!!!

Unaushaidi gan mwingine ambao unaweza kuuleta hapa tukaona kama ni kwer Yusuph manji kujiweka kando.....???

N:B. Danganya Totoz manji kujiweka kando
 
So why retire, I may be asked?

Kwa jinsi swali lilivyoulizwa inaonekana hakuwa na elimu ya kutisha. Kwa hiyo nadhani amejitahidi sana kiuongozi wa biashara. Apumzike kwa furaha.
Mosi, ni family business-- this doesn't mean no outside investors though Manji Family ndo largest shareholders!

Second, hii ni group of companies kwahiyo ni possible vilevile outside investors wakawekeza kwenye other lines of business BUT using QUALITY GROUP trademark ingawaje Manji family now wanaweza kuwa among the investors in that new business.

But all in all, Quality Group isn't Yusuf Manji ' s personal business but Manji ' s family business. Kama ni Manji ' s family business, then probably ana makaka na madada including their children ambao pia wanahitaji nafasi ya kuongoza kampuni! Na si ajabu, huyo mwanzilishi babake ukakuta alishirikiana na kaka ake na hivyo kaka's family kuwa part of Manji's family business na hivyo kuongeza wigo wa watu wanaoweza kushika usukani!

However, nadhani kinachomsukuma zaidi ni kuanzisha kitu cha kwake. The guy is an hungry lion.
 
Hana lolote, Mwizi tu huyo ponjoli!
 
Kabla picha kuanza nshadataaa, huyu si ndio alikua anapiga madili na NSSF kwa kununua majengo Yao kwa bei ndogo then anakuja kuwauzia NSSF hao hao kwa mabilion ya fedha? Baada ya kuona Hali ya Dr. Dau ni tete na soon Mikataba itaanza kupitiwa upya ameaanza kujitenga na QUALITY GRP kesho kutwa utashangaa QUALITY GRP imefilisika. Staili kama ya HOME SHOPPING CENTRE hivi. Ni shiida
Kwani hata akijitenga ndo hawezi kuingia matatani? Labda ndo kv mnaamini JPM hawezi kumwacha mtu lakini kwa big fish kama Manji kubaki QG kwake ni insulation tosha kuliko kubaki kuwa raia. Labda tu nikukumbushe kwamba wale ambao walisepa na containers ambao ni vidagaa tu mbele ya Manji; waliambiwa tu walipe! Hata hivyo, I understood JPM kwa hilo coz' I know impact yake endapo angechukua maamuzi ya kisiasa!
 
Kama kuna marinjirinji alifanya still yatamuhusu yeye na kampuni husika japo karetire,safari hii hatutaki hatucheki na mtu...mzee Wa kipozeo aliwaachia watu wachache wanaihujumu nchi saivi thubutu yako!!
Sibagui lakini waswahili-swahili hawawezi kusimamia mambo kikamilifu bila kugwaya. Uyakheeee hauhitajiki kwenye kazi serious kama urais. Le'go JPM
 
Back
Top Bottom