Flora Nducha na Arnold kayanda wapo Sauti ya Umoja wa mataifa(marekani)Habari wakuu.
Nimeona kuna haja ya kuanzisha uzi maalumu wa kufahamu walipo baadhi ya watu wetu waliowahi kujulikana sana enzi hizo.
Leo naanza kwa kutaka kujua wapo wapi watu hawa?
1) Flora Nducha wa Radio One
2) Enika wa baridi kama hii
3) Peter Manyika- mlinzi wa Yanga
4) Snare wa East Coast Team
5) KR jibaba wa Wanaume TMK
6)Sinta wa Juma Nature
7) Suma Lee na CPWAA
8) Angel Damas aliwahi kua Miss Tanzania
9) K.sal Mwana Mkiwa
10) Edger Maokola Majongo
11) Masood Sura Mbaya
12) Yule mtunzi wa Jumba la Dhahabu
13) Kibakuli na Swebe wa Kaole
14) Tina na Mjuba wa Mambo hayo
Tujuzane tu
Na kama kuna mtu aliwahi kukufurahisha enzi hizo mtaje hapa jungu kuu halikosi ukoko tujue wapo wapi na wanafanya nini.
Ahsanten.
Tina na Mjuba ni wakenya..Waliigiza TausiHabari wakuu.

Yupo Kigoma ujiji anavua dagaaNa arsern wenger sijui yupo wap
naye kamrudia muumbaSaigon mzee wa oi..oi..oi
Nampenda sana angel damas kuliko mamiss wt tzHabari wakuu.
Nimeona kuna haja ya kuanzisha uzi maalumu wa kufahamu walipo baadhi ya watu wetu waliowahi kujulikana sana enzi hizo.
Leo naanza kwa kutaka kujua wapo wapi watu hawa?
1) Flora Nducha wa Radio One
2) Enika wa baridi kama hii
3) Peter Manyika- mlinzi wa Yanga
4) Snare wa East Coast Team
5) KR jibaba wa Wanaume TMK
6)Sinta wa Juma Nature
7) Suma Lee na CPWAA
8) Angel Damas aliwahi kua Miss Tanzania
9) K.sal Mwana Mkiwa
10) Edger Maokola Majongo
11) Masood Sura Mbaya
12) Yule mtunzi wa Jumba la Dhahabu
13) Kibakuli na Swebe wa Kaole
14) Tina na Mjuba wa Mambo hayo
Tujuzane tu
Na kama kuna mtu aliwahi kukufurahisha enzi hizo mtaje hapa jungu kuu halikosi ukoko tujue wapo wapi na wanafanya nini.
Ahsanten.
Tabia was kidedea...binti kikojozHabari wakuu.

Fina Mango....i like this lady very much sauti yake tamu sanaHabari wakuu.
Nimeona kuna haja ya kuanzisha uzi maalumu wa kufahamu walipo baadhi ya watu wetu waliowahi kujulikana sana enzi hizo.
Leo naanza kwa kutaka kujua wapo wapi watu hawa?
1) Flora Nducha wa Radio One
2) Enika wa baridi kama hii
3) Peter Manyika- mlinzi wa Yanga
4) Snare wa East Coast Team
5) KR jibaba wa Wanaume TMK
6)Sinta wa Juma Nature
7) Suma Lee na CPWAA
8) Angel Damas aliwahi kua Miss Tanzania
9) K.sal Mwana Mkiwa
10) Edger Maokola Majongo
11) Masood Sura Mbaya
12) Yule mtunzi wa Jumba la Dhahabu
13) Kibakuli na Swebe wa Kaole
14) Tina na Mjuba wa Mambo hayo
Tujuzane tu
Na kama kuna mtu aliwahi kukufurahisha enzi hizo mtaje hapa jungu kuu halikosi ukoko tujue wapo wapi na wanafanya nini.
Ahsanten.
i think kamaanisha "mlinda lango"Peter Manyika alikua beki wa Yanga?? Aisee
KR mula kajificha huko temeke kwa azizi(mwembe kiuno)choka mbaya zimebaki nywele tuSumalee Saiv Kaamua Kumrudia Muumba (Allah) Yuko Serious Na Dini Saana .
Cpwaa Namuonaga Insta Tuu.
KR mara Ya Mwishoo Nilimsikia Kweny Bifu lake Na TID kuhusu Radar Ent. (Kama Sijakosea)
tTabia was kidedea...binti kikojoz
Jiti...ndoto tata
Kibakuli na mama Abdul...mambo hayo
Bab Lee..kizizi
Alitamba sana kipindi flani na ile copy ya nyimbo ya zamaniFina Mango....i like this lady very much sauti yake tamu sana
Kweli...! Alikuwa na kipindi nafikiri hip hop base kama sijakosea pale EATVnaye kamrudia muumba
Amepungua sana sijui shida nini?KR mula kajificha huko temeke kwa azizi(mwembe kiuno)choka mbaya zimebaki nywele tu
uchumi mzeeAmepungua sana sijui shida nini?
Jamaa alikua na bonge la sauti af mwili mdogo.....Wap Abuubakar Sadiq wa radio one
Grocery au baa ? Jamaa alitamba sana town na watoto wakaliMtunzi wa jumba la dhahabu ithink Tuesday kihangala yupo kule Lushoto anauza grocery yake.
Habari wakuu.