Ni Mwanasheria Nguli saana. Mwanazuoni wa kupigiwa mfano. Mwanaharakati na mtunzi wa vitabu.
Ni Mwanasiasa mzuri na amewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Amepotea sana. Yuko wapi bingwa huyu?
View attachment 2951156