Yupo wapi Mwanamziki wa Bongo Flava D Nob?

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,262
6,514
Miaka ya nyuma huyu jamaa alitamba na kibao "Elimu ni biashara tutasomaje?" Sijamsikia kwenye muziki siku nyingi na sijui yupo wapi na anashugulika na nini?
 
Miaka ya nyuma huyu jamaa alitamba na kibao "Elimu ni biashara tutasomaje?" Sijamsikia kwenye muziki siku nyingi na sijui yupo wapi na anashugulika na nini?
Mara ya mwisho miaka ya 2016 nilimuona, alikua anasoma pale
KAMPALA INTERNATIONAL UNIVERSITY.
 
huwa sipendi bongo flava sana ila jamaa namkubali, kuna ngoma yake inaitwa "ingewezekana" ni moto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom