Are you? Yes we are! she was very impressive!Wakuu,
Poleni na majukumu na Heri ya 2018.
Ni mda mrefu sasa sijamsikia kamanda na msemaji wa Jeshi la Police Tanzania (JLPT) mwanamama Advera Senzo Bulimba. Je, aliacha kazi au alihamishwa idara?
Nilimpenda sana yule mama hasa alivokuwa akicheza na microphones.
Kazi yake ya uaskari.Mwanza kunani
A beuty law enforcer with a human heart.ACP Advera Bulimba huyu mtu wa dini sana hana kauli tata anasali kanisa la praise and worship anafundisha watoto hadi nyimbo za kuimba.
.
Sasa hivi anafanya kazi nyingine alibadilishwa.
Kilichomfanya aondolewe ni kuwa na kauli za kiungwana sana dhidi ya waliopanga maandamano ya UKUTA Masanja wa JWTZ alikuwa anazungumza kimafia alafu yeye anapooza kimama mchungaji
Hata mkuu wa Tiss mstaafu alikua Mchungaji.ACP Advera Bulimba huyu mtu wa dini sana hana kauli tata anasali kanisa la praise and worship anafundisha watoto hadi nyimbo za kuimba.
.
Sasa hivi anafanya kazi nyingine alibadilishwa.
Kilichomfanya aondolewe ni kuwa na kauli za kiungwana sana dhidi ya waliopanga maandamano ya UKUTA Masanja wa JWTZ alikuwa anazungumza kimafia alafu yeye anapooza kimama mchungaji
Hata mkuu wa Tiss mstaafu alikua Mchungaji.
Alikuwa mchungaji wa ng'ombe, mbuzi, punda, au mchungaji wa wanyama gani????
Mbona matukio ya utekaji, utesaji NA uuaji wa binadamu yalishamiri sana??
Nilipenda sana ndevu zake tu
Halafu alikuwa mrembo.View attachment 1210979
Jamani yuko wapi siku hizi huyu msemsji wa Polisi.
Nilikuwa napenda sana press conference zake.
Kaimu RPC MwanzaKaimu RPC MwanA