Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,840
- 7,756
Nipatie, binafsi namkumbuka sana mshikaji huyu.Nikupe namba yake umuulize?
Hawa watu huwa makini usipime. Mi nkija kuwa Rais nitalindwa na wanawake tupu.Baba alisema hataki walinzi wa kike
Hatutaki mzaha huku!!Weka picha tumuone!
Huenda atakua Msoga huko na Vasco da Gama
Acha kuact.Bado nina familia changa mie. Sitaki matatizo
Nenda pale Knyama getini ulizia watakujibu au karibu MbweniHabari wanajukwaa wa siasa.
Kuna Dada moja makini sana alikuwa ktk safu ya ulinzi wa Rais Kikwete ktk siku zake za mwishomwisho wa Urais. Baadae pia alionekana akiwa na Rais Magufuli ktk siku zake za awali za urais.
Baadae alipotea ghafla na haonekani tena ktk safu ya ulinzi wa Kiongozi Mkuu. Sijui kaenda kusoma au? Binafsi nilikuwa namkubali sana na niseme tu nimemisi sana jasusi huyu.
Enzi za Gadafi wanawake ndiyo humlinda Rais kwani inadaiwa huwa ni Makini kuliko wanaume. Kumbukuka walinzi wake maarufu kwa jina la Amazonian Girls.
Umenipa mwanga mdau, ni lazima niulize walinzi wa viongozi wetu wakuu haswa pale napomkubali.Nenda pale Knyama getini ulizia watakujibu au karibu Mbweni
Au ingia hapa MITAA YA ST P
Au pale jirani na Agakani
Au bado hijui jina lake....
Ukimkosa nenda Mjengon pale Ddm
Na uwe na Maelezo yakutosha....na Sababu za kumuulizia
Angalia....ucje ukauliza BS8 alipo....
Au ukauliza chumba cha kulala wahaini....
Angalia usije ukaokotwa comoros
Uwe makini na maswali yako
Walinzi huamishwa vituo au kupangiwa majukumu Mengine....
Sasa naona umefurahi.
HujamboAcha kuact.
Nmecheka Sana [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa hapo mkuu unataka tuchangie nini? Kutafutiana mitihani tu.
Rais hausiki kabisa na walinzi wake.Hao wanataribu zao na uongozi wao.wala hawapewi kazi ile na Rais mwenyewe bali Rais ndiye hupangiwa walinzi.Baba alisema hataki walinzi wa kike