E Elisha JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 638 Reaction score 1,048 May 3, 2025 #1 Habari!! Sijamsikia kwa muda mrefu kidogo Mh Mch Gwajima, mbunge wa Jimbo la Kawe. Kuna mwenye taarifa alipo mheshimiwa huyu? Mbona kimya sana? au ni Mimi tu ndiye simsikii? Nitashukuru sana kwa taarifa za alipo. Ahsante
Habari!! Sijamsikia kwa muda mrefu kidogo Mh Mch Gwajima, mbunge wa Jimbo la Kawe. Kuna mwenye taarifa alipo mheshimiwa huyu? Mbona kimya sana? au ni Mimi tu ndiye simsikii? Nitashukuru sana kwa taarifa za alipo. Ahsante
Pulchra Animo Platinum Member Joined Jun 16, 2016 Posts 8,286 Reaction score 14,407 May 3, 2025 #2 Elisha said: Habari!! Sijamsikia kwa muda mrefu kidogo Mh Mch Gwajima, mbunge wa Jimbo la Kawe. Kuna mwenye taarifa alipo mheshimiwa huyu? Mbona kimya sana? au ni Mimi tu ndiye simsikii? Nitashukuru sana kwa taarifa za alipo. Ahsante Click to expand... Yuko Birmingham, Alabama, anakamilishakamilisha ule mpango (exchange program) wa kuwawezesha vijana wa Kawe kutembeleana na kubadilishana uzoefu na vijana wenzao wa Birmingham. Promise made, promise kept!π
Elisha said: Habari!! Sijamsikia kwa muda mrefu kidogo Mh Mch Gwajima, mbunge wa Jimbo la Kawe. Kuna mwenye taarifa alipo mheshimiwa huyu? Mbona kimya sana? au ni Mimi tu ndiye simsikii? Nitashukuru sana kwa taarifa za alipo. Ahsante Click to expand... Yuko Birmingham, Alabama, anakamilishakamilisha ule mpango (exchange program) wa kuwawezesha vijana wa Kawe kutembeleana na kubadilishana uzoefu na vijana wenzao wa Birmingham. Promise made, promise kept!π
Saguda47 JF-Expert Member Joined May 1, 2016 Posts 11,767 Reaction score 22,041 May 3, 2025 #3 Kaona hana namna ya kumpamba "MAMA" imebidi atulie tu.
K Kb Ulayaulaya JF-Expert Member Joined Jan 5, 2023 Posts 802 Reaction score 1,156 May 3, 2025 #4 Huyo bwana,emu mwulize Pasco Mayala ana tariff zake
Lax JF-Expert Member Joined Feb 10, 2022 Posts 10,935 Reaction score 15,657 May 3, 2025 #5 Pulchra Animo said: Yuko Birmingham, Alabama, anakamilishakamilisha ule mpango (exchange program) wa kuwawezesha vijana wa Kawe kutembeleana na kubadilishana uzoefu na vijana wenzao wa Birmingham. Promise made, promise kept!π Click to expand... Kupiga kampeni ni rahisi sana -- wananchi wa kawe wajifunze uvuvi -- wanasiasa wanatoa ahadi hewa sana
Pulchra Animo said: Yuko Birmingham, Alabama, anakamilishakamilisha ule mpango (exchange program) wa kuwawezesha vijana wa Kawe kutembeleana na kubadilishana uzoefu na vijana wenzao wa Birmingham. Promise made, promise kept!π Click to expand... Kupiga kampeni ni rahisi sana -- wananchi wa kawe wajifunze uvuvi -- wanasiasa wanatoa ahadi hewa sana
E Elisha JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 638 Reaction score 1,048 May 13, 2025 Thread starter #6 Yupo wapi Mh Mch Gwajima?
Ngwathra Platinum Member Joined Jul 11, 2007 Posts 6,942 Reaction score 14,047 May 13, 2025 #7 Pulchra Animo said: Yuko Birmingham, Alabama, anakamilishakamilisha ule mpango (exchange program) wa kuwawezesha vijana wa Kawe kutembeleana na kubadilishana uzoefu na vijana wenzao wa Birmingham. Promise made, promise kept!π Click to expand... Hahahah nimecheka kwa sauti kubwa, kweli JF never bores yani!
Pulchra Animo said: Yuko Birmingham, Alabama, anakamilishakamilisha ule mpango (exchange program) wa kuwawezesha vijana wa Kawe kutembeleana na kubadilishana uzoefu na vijana wenzao wa Birmingham. Promise made, promise kept!π Click to expand... Hahahah nimecheka kwa sauti kubwa, kweli JF never bores yani!
Mwalimu wa tuisheni JF-Expert Member Joined Oct 19, 2019 Posts 8,332 Reaction score 14,661 May 13, 2025 #8 Tumuulize huyu kada wa lumumba johnthebaptist atakua ana a, b, c zake
Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,759 Reaction score 37,341 May 13, 2025 #9 YUPO ANATAFUTA NCHI NYENGINE KUIFANANISHA NA JIMBO LA KAWE.
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,598 May 13, 2025 #10 Mwalimu wa tuisheni said: Tumuulize huyu kada wa lumumba johnthebaptist atakua ana a, b, c zake Click to expand... Yuko Chaumma na ndiye anayewavuta G55 tayari kwa October π
Mwalimu wa tuisheni said: Tumuulize huyu kada wa lumumba johnthebaptist atakua ana a, b, c zake Click to expand... Yuko Chaumma na ndiye anayewavuta G55 tayari kwa October π
E Elisha JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 638 Reaction score 1,048 May 13, 2025 Thread starter #11 Abijon said: Hahahah nimecheka kwa sauti kubwa, kweli JF never bores yani! Click to expand... Hahahahahaha.....!
Abijon said: Hahahah nimecheka kwa sauti kubwa, kweli JF never bores yani! Click to expand... Hahahahahaha.....!