Yupo wapi Makamu Mwenyekiti wa BAVICHA Ole Sosopi?

KIGWANYA

Member
Apr 14, 2016
81
103
Kijana huyu wa Bavicha hajasikika kabisa tangu alikua amekamatwa na polisi kwa uchochezi wakutaka kuzuiya mikutano ya CCM kule Dodoma.
Na mbwembwe zake zote sasa hivi Kimyaaaaaa! kweli JPM amewakata pabaya Bavicha na CDM yao kama hawapoo! wamebaki wachochezi wachache mitandaoni.
Mungu jalia hata hawa wa mitandaoni wapotee kama Ole sosopi.
 
Olesosopi aliingia kwa pupa sana na aliwakera wengi kwa kauli zake za kitoto na kijinga.
 
Siasa zilifungiwa mtukufu wewe ulitaka asikike wapi?KINANA YUKO WAPI SIKU HIZI?o_O
 
Wameanza kuuelewa upepo wa kisiasa wa kipindi hiki..wanatoka taratibu jk season.
 
Kijana huyu wa Bavicha hajasikika kabisa tangu alikua amekamatwa na polisi kwa uchochezi wakutaka kuzuiya mikutano ya CCM kule Dodoma.
Na mbwembwe zake zote sasa hivi Kimyaaaaaa! kweli JPM amewakata pabaya Bavicha na CDM yao kama hawapoo! wamebaki wachochezi wachache mitandaoni.
Mungu jalia hata hawa wa mitandaoni wapotee kama Ole sosopi.
Hana lolote ameunda kundi kupambana na msigwa pale iringa. Ndio mwisho wa siasa Zake za kitoto
 
siasa chipukizi ..kutafuta Popularity kwa Mdomo na Vituko bahati mbaya akauta watu wako kwenye Mood nyingine.
 
Teh,teh!!!some people bana.......
images-200.jpeg
 
Back
Top Bottom