Yupo wapi Lawrence Malima Madole AKA Marlaw?

Daaaa kweli jamaa amepotea.
Mb dog nae wote chali.
Sijui shida nini.
 
Alitamba Kwa nyimbo za Rita, Mbayuwayu n.k

Mara ya Mwisho nimemsikia kwenye kampeni za Urais mwaka 2010 wakati Kikwete anagombea kipindi chake cha Pili.

Huyu jamaa sijui nini kimempata mpaka sasa kawaachia uwanja akina diamond na hakika angeendelea kuimba huyu ndiye angekuwa mpinzani wa kweli wa Simba ila siyo huyu anayepambanishwa naye kwa sasa.

Nakumbuka sana ule wimbo wake anaimba amechoka kupiga honi, aisee wakati unatoka nlikuwa Mkuu high school yaani kuna binti nilikuwa namkubali sana alikuwa form six PCM nami niko five PCM, sijui yuko wapi siku hizi Tele, kweli maisha ni safari ndefu yaani huyu mtoto wa Kihehe alikuwa mzuri sana, mweupe kweli kweli.
 
Nenda search line Radio free Africa Kama ni cheupe hesabu Maumivu.Mimi wakati Niko form five nilipendwa na Dada wa Kisukuma Hakika ulikuwa mzigo mdada wa watu alichaguliwa UDSM akawa anakuja gheto nikiwa form six,Kila wikiend anakuja kunifulia Bi Dada kapata scholarship kwenda Sweden akiwa First Year UD,Imekuwa story miaka kumi na Mbili Sasa.Mary wanguuu.
 
Muda wake Ulishapita hata aje atoe wimbo Kali namna gani kamwe hauwezi kuhit kama kipindi hicho.

Mke wake alimwambia aachane na muziki.
 
Nenda search line Radio free Africa Kama ni cheupe hesabu Maumivu.Mimi wakati Niko form five nilipendwa na Dada wa Kisukuma Hakika ulikuwa mzigo mdada wa watu alichaguliwa UDSM akawa anakuja gheto nikiwa form six,Kila wikiend anakuja kunifulia Bi Dada kapata scholarship kwenda Sweden akiwa First Year UD,Imekuwa story miaka kumi na Mbili Sasa.Mary wanguuu.
Pole sana mkuu haya mambo yanauma sana unaweza pata mke lakini picha ya msichana uliyempendaga ikawa inakujia kichwani kila mara. Ushauri wako nimeuchukua.
 
Back
Top Bottom