Yupo wapi Jenerali ulimwengu? Yupo wapi CAG asad

uwe hodari

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
4,041
Reaction score
8,644
Hawa watu mmoja ni mwanahabari mwingne ni mwanauchumi

Ulimwengu toka samia aingie madarakani amejificha
Hataki hata kuwa karibu na media hata gazeti lake limegeuka gazeti la ccm kumsifia samia

Asad
Huyu anajiita mchumi amejificha hataki kuonekana kwenye media

Ila hawa watu wakati wa magufuli walimtukana kwa mambo mengi ya uongo

Ulimwengu alijiweka karibu na chadema ili apate kumtukana vizuri magufuli ila baada ya samia kuingia madarakani amejitenga na chadema

Kwasasa nchi ipo kwenye uozo, ufisadi,rushwa,kubinywa kwa vyombo vya habari,kuuzwa kwa nchi kwa waarabu

Lkn wapo kimya! Au kwa kuwa anayesababisha haya ni ntu wetu?

Je hawa wanatufundisha nini sisi wananchi?
 
Wanawaona wapumbavu,DP wa namiliki Bandari USA UK CHINA INDIA CANADA AUSTRALIA na nchi kibao za Afrika,sasa nyinyi mara wameuziwa mara wamekodishwa miaka 100 mara milele,kumbe wamepewa kuendesha sehemu tu.ambayo zamazi walipewa TICS
 
Hao Mwalimu Julius Nyerere aliwaita Malaya wa kisiasa
 
1690627199818.png

Tarehe 30 Julai 2023 Jenerali Ulimwengu katika muendelezo wa mahojiano exclusive akiangazia masuala ya kisiasa, kidiplomasia, kiuchumi, kijamii na kiusalama. Jongea katika mtandao wa The Chanzo kufuatilia muendelezo wa mahojiano ya mwaka huu 2023.
 
Hata Kamanda Hashimu Rungwe sijamsikia akitia neno kwenye mkataba wa DP.

Zitto Kabwe vivyo hivyo.
 
Hawa watu mmoja ni mwanahabari mwingne ni mwanauchumi

Ulimwengu toka samia aingie madarakani amejificha
Hataki hata kuwa karibu na media hata gazeti lake limegeuka gazeti la ccm kumsifia samia

Asad
Huyu anajiita mchumi amejificha hataki kuonekana kwenye media

Ila hawa watu wakati wa magufuli walimtukana kwa mambo mengi ya uongo

Ulimwengu alijiweka karibu na chadema ili apate kumtukana vizuri magufuli ila baada ya samia kuingia madarakani amejitenga na chadema

Kwasasa nchi ipo kwenye uozo, ufisadi,rushwa,kubinywa kwa vyombo vya habari,kuuzwa kwa nchi kwa waarabu

Lkn wapo kimya! Au kwa kuwa anayesababisha haya ni ntu wetu?

Je hawa wanatufundisha nini sisi wananchi?
Utawasikia chawa?
 
Una haraka sana ! mkataba ni milele bado unataka tulete bunduki zote sasa ?
 
Wanawaona wapumbavu,DP wa namiliki Bandari USA UK CHINA INDIA CANADA AUSTRALIA na nchi kibao za Afrika,sasa nyinyi mara wameuziwa mara wamekodishwa miaka 100 mara milele,kumbe wamepewa kuendesha sehemu tu.ambayo zamazi walipewa TICS
Wewe ndio mpumbavu.
Hakuna anayepinga uwekezaji hata mmoja.Watu wanapinga vipengele vinavyompa mwekezaji haki isiyo na mipaka wala kuhojiwa. Mfano haki ya kupewa eneo lolote,lenye ukubwa wowote Tanzania bara na kama kuna fidia ilipwe na serikali.
Je akiomba mbuga ya Serengeti yote?
 
Hawa watu mmoja ni mwanahabari mwingne ni mwanauchumi

Ulimwengu toka samia aingie madarakani amejificha
Hataki hata kuwa karibu na media hata gazeti lake limegeuka gazeti la ccm kumsifia samia

Asad
Huyu anajiita mchumi amejificha hataki kuonekana kwenye media

Ila hawa watu wakati wa magufuli walimtukana kwa mambo mengi ya uongo

Ulimwengu alijiweka karibu na chadema ili apate kumtukana vizuri magufuli ila baada ya samia kuingia madarakani amejitenga na chadema

Kwasasa nchi ipo kwenye uozo, ufisadi,rushwa,kubinywa kwa vyombo vya habari,kuuzwa kwa nchi kwa waarabu

Lkn wapo kimya! Au kwa kuwa anayesababisha haya ni ntu wetu?

Je hawa wanatufundisha nini sisi wananchi?
Kwa sasa wewe ndiye unategemewa kuongoza jahazi.Wale wazee walishaitumikia nchi sana.Wakati ni wako sasa.Usijifiche kwenye vivuli vyao.Walianza kuitumikia nchi wakiwa vijana wadogo sana.Ni muda wako huu!
 
Hawa watu mmoja ni mwanahabari mwingne ni mwanauchumi

Ulimwengu toka samia aingie madarakani amejificha
Hataki hata kuwa karibu na media hata gazeti lake limegeuka gazeti la ccm kumsifia samia

Asad
Huyu anajiita mchumi amejificha hataki kuonekana kwenye media

Ila hawa watu wakati wa magufuli walimtukana kwa mambo mengi ya uongo

Ulimwengu alijiweka karibu na chadema ili apate kumtukana vizuri magufuli ila baada ya samia kuingia madarakani amejitenga na chadema

Kwasasa nchi ipo kwenye uozo, ufisadi,rushwa,kubinywa kwa vyombo vya habari,kuuzwa kwa nchi kwa waarabu

Lkn wapo kimya! Au kwa kuwa anayesababisha haya ni ntu wetu?

Je hawa wanatufundisha nini sisi wananchi?
Hao wote ni wadini
 
View attachment 2702081
Tarehe 30 Julai 2023 Jenerali Ulimwengu katika muendelezo wa mahojiano exclusive akiangazia masuala ya kisiasa, kidiplomasia, kiuchumi, kijamii na kiusalama. Jongea katika mtandao wa The Chanzo kufuatilia muendelezo wa mahojiano ya mwaka huu 2023.
Aliponishangaza ni aliposema Kagame anavyofanya ni sahihi.Kwamba hana dosari yoyote katika utawala wake.
 
Hawa watu mmoja ni mwanahabari mwingne ni mwanauchumi

Ulimwengu toka samia aingie madarakani amejificha
Hataki hata kuwa karibu na media hata gazeti lake limegeuka gazeti la ccm kumsifia samia

Asad
Huyu anajiita mchumi amejificha hataki kuonekana kwenye media

Ila hawa watu wakati wa magufuli walimtukana kwa mambo mengi ya uongo

Ulimwengu alijiweka karibu na chadema ili apate kumtukana vizuri magufuli ila baada ya samia kuingia madarakani amejitenga na chadema

Kwasasa nchi ipo kwenye uozo, ufisadi,rushwa,kubinywa kwa vyombo vya habari,kuuzwa kwa nchi kwa waarabu

Lkn wapo kimya! Au kwa kuwa anayesababisha haya ni ntu wetu?

Je hawa wanatufundisha nini sisi wananchi?

Hii inatakiwa kufundishe kwamba Magufuli alikuwa mtu wa hovyo
 
Back
Top Bottom